Tunamuimba Rais kila kona, Je, yupo kwenye mioyo ya Watanzania Au mtaamua kufumba macho?

Inafahamika na wengi kwamba, baada ya ile kauli ya kula Kwa urefu wa kamba! Ndiyo haswaa imewakosha majangili wa ccm na wewe ukiwamo,

Mnamponza mwenzenu, hammumwambii ukweli kwamba, 2025 tutakuwa na chuguo la watu wengi
 
Inafahamika na wengi kwamba, baada ya ile kauli ya kula Kwa urefu wa kamba! Ndiyo haswaa imewakosha majangili wa ccm na wewe ukiwamo,

Mnamponza mwenzenu, hammumwambii ukweli kwamba, 2025 tutakuwa na chuguo la watu wengi
Wewe ulitaka ule Kwa urefu wa kamba ya nani?

Chaguo gani mbona hulitaji 😂😂😂😂.

Hadi ifike 2030 Kazi unayo
 
Kuna wanawake Fulani walioongea hivi Mama Samia ni Mwanamke mwenzetu hila ametuangusha. Maisha yamekuwa magumu mno, mfumuko wa Bei wa mafuta ya kula, chakula na ujenzi vikuwa ghali mno.
 
Suala la biashara kufa ilo lipo kila mwaka na endelea kulitarajia ila jana nilisikia kwenye Power Breakfast kuna kampuni zimefungwa na kila mmoja hapo anasanabu zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha yanakuwaje magnum wakati Uwekezaji unaongezeka

Mwacheni mama achape kazi
 
Sisi tumekubali kwenda na Rais Samia. Hao Raia wa Hali ya chini na wao waende na rais wanayeona anafaa. Full stop tuache kupigiana makelele
 
Kwakweli mimi SSH yupo moyoni mwangu kabisaa, kuroho safi. Namwombea afanikiwe maana mafanikio yake ndio mafanikio ya nchi.

JPM alikuwa na mazuri yake lakini dah... Ile ilikuwa noma.
🤣🤣🤣
 
Hivi ukiwa na wabunge wenye mambo ya kitoto kama wale pale Dodoma unawezaje kumlaumu Rais ambaye amewakuta na ikamlazimu kuwaangalia wanavyodmka na kuruka sarakasi kwenye maiki Bungeni.
🤣🤣🤣pale tulipigwa
 
Haaaahaaa sasa mkuu samaki utaibaje?, Ila huko ziwani au Bahraini wavuvi huwa wanaibiana taa au betri mkuu.
Pwani kwa kubinuliana wake za wenzao na blah blah kibao jawajambo .nao ni majizi. Kaulize visiwa vilivyozungukwa na bahari Rais Mwinyi anavyohangaika nao .miafrika ni.mijizi tu every whare achana na mentality ya ki cannibalism wewe
 
Mama ana sera nyingi nzuri. Ninafsi naamini panapomkwamisha ni pamoja
1. Aliingia akikuta watu wengi washamwamini kwa kiwango cha juu mtangulizi wake

2.before na machungu hayajapoa akakubali kuanzisha tozo zinazogusa watu wa chini direct

3. Hajipambanui kuwa yuko karibu na watu wa chini bali anaegemea kwa makabaila na pia hana anapoweza kuonyesha kuwa ana deal na majizi .mind you majizi yanachukiwa sana nchi hii na kati highlight kwenye katiba mpya tarajiwa majizi ni moja ya jambo letu wanyonge. Mfano wa kuonyesha kutojali ni anapokuwa na mikutano hakuna anymore mnyonge anaejigalagaza mbele yake baada ya kumshushua mmoja wa wamama waliojitoa ufahamu kuja kwake. Kumbuka mtangulizi wake alivyokuwa down to earth kwa hilo.

4. Kuonyesha wazi wazi kujitenga na misimamo ya mtangulizi wake .hili suala niliwahi kuzi warn mamlaka baadhi wakabeza.

Mwisho yote hayo yakichangia kutomkubali mama aka Hangaya hali ya maisha imeenda ndivyo sivyo na bado haonyeshi kuwa confort watu .badala yake anawakatisha tamaa. Anyway hizi ni views zangu .
 
An Irish proverb goes; a lion doesn't concern himself with the opinions of the sheep!

Mama Samia ni lioness. Lioness hana muda wa kusikiliza 'vingonjera' vya nakupenda sana au sikupendi......ye ni kutafuta mawindo tu kwa ajili ya watoto wake. Watakapokuwa wakubwa watamuelewa, kwa sasa acha wapige kelele tu. Mipango yake ni vigumu kueleweka ghafla na wasio na maono hata ya hatua kumi mbele.
 
Ni Akili kuamua: KUISHI AMA KUISHIA! Kuwatoa madarakani hawa watu wasio na uwezo wa kuongoza:Ccm mmeshindwa kuleta maendeleo katika nchi hii tamu,ccm imezeeka vibaya sana!
 
Duh eti watu wa Pwani sio wezi!!!
 
Mjomba naona unapigapiga chenga:SIMPLE & CLEAR JPM alikuwa low intellegence sawa sawa na huyu mwanamama HANGAYA!...Wote low intellegence,
 
Naunga mkono hoja
 
Kijijini kwenu ndiyo kuna wajinga waliopitiliza, na wewe ndiyo mwenye akili unayeweza kiandika utopolo wenu JF. POLE Paulsylvester
 
Na huo ndio ukweli kwa wanaopenda kusema ukweli !! Na ukweli kama huu ndio unaoweza kumsaidia mhusika ili ajaribu kurekebisha pale ambapo ataona panaleta hii shida !!
 
Pwani wana tabia za kutambiana kwa kila kitu !! Hivyo basi wenye tabia hizo Mara nyingi huwa ni wabinafsi wa kutaka kila kizuri kiwe kwake tu !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…