Tunamuimba Rais kila kona, Je, yupo kwenye mioyo ya Watanzania Au mtaamua kufumba macho?

Sawa ila usilolijuwa usiku wa giza. Asante
 
Huna hoja ya maana. Nimekwambia sema alilofanya JPM ambalo viongozi wengine hawajafanya au hawafanyi
Unaweza ukasimama nakusema unataka kuwafananisha JPM na SSH? Nilazima uwe akili haipo sawa JPM utamsema kwa mengine ila ile machine wajukuu watachimbua kaburi lake nakumzika tena sehem awe anaonekana na vizazi vijavyo. Hakuwa mtu wa kawaida na waliokuwa naye wanajuwa hilo....
 
Huna hoja ya maana. Nimekwambia sema alilofanya JPM ambalo viongozi wengine hawajafanya au hawafanyi
Magufuri aliangalia usawa wa wafanya biashara kuanzia chini ,kati mpaka juu bila kuathiri raia wake Wala serikali yake .leo hii wafanyabiasha wanapandisha Bei vitu kwa kisingizio Cha Vita na hakuna anaejali maisha yamekua magumu ,bado raia anapigwa na tozo ajaka sawa mfumuko wa Bei.
 
Nchi hii Ina wanafiki wengi sana. Watu wanatetea ugali wao tu.
 
Kidgo nizabwe makofi juz Kati ninapo jaribu kumdiss magufuli
 
Umesema vyema mkuu
Mle ktk Baraza hakuna mwenye maono wengi wanafikiria matumbo yao tu na biashara zao sisiharibike lkn kuwa na mawazo ya kuhundle ishu za mfumuko wa Bei hawanaa
 
Kwa mkono wa chuma atakuwa ila kama ccm wakisema waangalie otherside ya chama SSH hatuendelea baada ya 2025. Labda kama ccm wamechoka na wanataka wagawane kuni na moto hapo sawa.
 
Gharama za maisha zinapanda kwa 40%

Alafu unaongezewa 23% ya mshahara..

Huo ni upumbavu!
Pia akumbuke wanufaika wa Hilo ONGEZEKO la 23% hawazidi Lak 5 Nchi nzima.
Kudhibiti mfumuko wa Bei za mafuta,mbolea na bidhaa zingeleta tija Zaid Kwa watanzania wengi Zaid ya 50 milioni.
 
JPM anakubalika na watu kitaani SSH anakubalika mitandaoni ndio tofauti kubwa .
Illiterates and ignorants!! Na ni kazi yetu kuwasomesha hadi waelewe. Magufuli alijuwa kuwa anatawala wajinga wengi na ndiyo akawajaza propaganda za uwongo.

Kwa mfano aliwaambia tunajenga miundomninu kwa fedha zetu, nanyi wajinga mkaamini hivyo. Next day anaonekana anasaini mkopo na AfDB au CreditSuisse. Wajinga hamjuilizi. Endeleeni kumkubali marehemu ila sisi tunapiga kazi na 2025 wajinga hamwezi kuhesabu kura, tunapeta tu
 
Sawa ila usilolijuwa usiku wa giza. Asante
Wewe unajuwa nini zaidi ya kuwa fanatic wa marehemu Mwendazake? Unaongelea mioyo ya watanzania, uliingia lini ukaisoma?

Kama umepigika maisha baada ya Mwendazake nenda tu ukazikwe naye Chato
 
Dah... Kihisabati.....hakuna utawala mzuri au mbaya....Ni vile tu unavyonufaika nao...kihalali au kiharamu..... Kuna yule ambaye juzi tu kule Arusha ameingiziwa 63m kwenye akaunti kama posho yake kwa kusimamia vifusi vya udongo atakuambia huu utawala mbaya? Au yule mama anayehangaishwa kila siku pale Muhimbili kupata majibu yake ya vipimo vya moyo ili atoe rushwa atakuambia huu utawala Ni mzuri?.....kihisabati lakini 🤭
 
Samia yupo kwenye mioyo ya Watanzania kuliko Magufuli alivyokuwa
Dah....watanzania wako aina nyingi mkuu.... Kuna wale wanaolipa kodi na tozo mbalimbali....Kuna wale masikini wanaoshindwa kupata huduma za msingi na haki bila kutoa rushwa......watalii....Kuna wengine wanaolipwa posho kwa vikao hewa.... Wale wakwepa Kodi....wapigaji....walamba asali....nk nk 🤣🤣🤣🤣🤣
 

Kwa mkono wa chuma atakuwa ila kama ccm wakisema waangalie otherside ya chama SSH hatuendelea baada ya 2025. Labda kama ccm wamechoka na wanataka wagawane kuni na moto hapo sawa.
2025 mbaal mno. Wakubali kupokea ushauri na maonyo, wamtaje Mungu na kumtumainia, wasishupaze SHINGO wakishauriwa isijevunjika. Amen
 
Chonga sana wote tupo ndani ya gari moja lazima utapakatwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…