assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,905
- 4,054
Ndugu yangu kwamba ni watekaji ambao hawajulikani?? Kwamba Rais aingilie kati....??? Mzee bado tupo mbali na uhalisia... Igizo vs Tamthilia....Tunamuomba Rais wetu aingilie kati ili suala hili likomeshwe.
Rais aliingilia kati suala la majambazi sasa hivi limepungua.
Rais wetu ni msikivu, nchi hii hatujazoea watu kutekwa ni jambo geni.
Tunamuomba aingilie kati na endapo watekaji watakamatwa waadhibiwe vikali.
Tumuombee Rais wetu kwani majukumu aliyonayo ni mazito.
Mobutu Magufuli Seseseko Kuku wa Zobanga wa Tanganyika.Tunamuomba Rais wetu aingilie kati ili suala hili likomeshwe.
Rais aliingilia kati suala la majambazi sasa hivi limepungua.
Rais wetu ni msikivu, nchi hii hatujazoea watu kutekwa ni jambo geni.
Tunamuomba aingilie kati na endapo watekaji watakamatwa waadhibiwe vikali.
Tumuombee Rais wetu kwani majukumu aliyonayo ni mazito.
Tena majambazi wa sasa wako very supported na GovntZaman majambazi walikua tishio sasa ivi watu wasiojulikana ni hatari.
Tuiombee nchi yetu irudi kama ilivokua zamani
Tunamuomba Rais wetu aingilie kati ili suala hili likomeshwe.
Rais aliingilia kati suala la majambazi sasa hivi limepungua.
Rais wetu ni msikivu, nchi hii hatujazoea watu kutekwa ni jambo geni.
Tunamuomba aingilie kati na endapo watekaji watakamatwa waadhibiwe vikali.
Tumuombee Rais wetu kwani majukumu aliyonayo ni mazito.
Kama upo ushahidi wa wazi tuwekee itakua umetusaidia ilakm hauna Ni hisiya Ni hatar zaidiKama wanatumwa na yeye unategemea watakamatwa?, Yeye mwenyewe anasema kazi ni ngumu sana, ameshindwa kazi
Kwanini mkuu, yeye kwa sasa ndio rais whether tunakubali ama tunakataa. Anawajibika kulinda usalama wa hii nchi,Mambo yakiharibika yeye ndio wa kwanza kuulizwa ivo anapaswa yote yasio ya haki yafanyiwe uchunguziNadhani unakosea ni sawa na kumwambia achunguze shambulio la Lisu
Sent using Jamii Forums mobile app
Heee...... Kwa hiyo hao wanaotekwa si ndio wakina Kigogo2014?Tunamuomba Rais wetu aingilie kati ili suala hili likomeshwe.
Rais aliingilia kati suala la majambazi sasa hivi limepungua.
Rais wetu ni msikivu, nchi hii hatujazoea watu kutekwa ni jambo geni.
Tunamuomba aingilie kati na endapo watekaji watakamatwa waadhibiwe vikali.
Tumuombee Rais wetu kwani majukumu aliyonayo ni mazito.
Sasa nimeanza kuhisi huyo mtu huwa anachezea akili za watu, wanaanzisha jambo makusudi, watu waanze kupiga kelele, halafu eti yeye anakuja baadae kuingilia kati, lile suala la korosho liliniachia maswali mengi sana, kama kweli huyo mtu huwa anamaanisha anapotoa maelekezo yake mbele za kamera, au ni kutafuta tu ku_seek public attention, nachelea kumuamini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajuaje kuwa huyo unayemwonba aingilie kati, unajuaje kuwa huenda yeye mwenyewe akawa "architect" wa haya yote yanayotokea?Tunamuomba Rais wetu aingilie kati ili suala hili likomeshwe.