Tunamuomba Rais aingilie kati hili suala la watu kutekwa

Tunamuomba Rais aingilie kati hili suala la watu kutekwa

Hii ya watu wasiojulikana was real, wengine tumenusurika kwenye tundu la sindano!

Kwa hiyo tunaelewa what we are talking about!

Tuna bahati ule utawala wa dhalimu umekoma!
 
Hapo watakatisha fedha na wahujumu uchumi wanachekea tumboni!
Kama na yeye alikua mwema kwanini mikataba ya matrilion iliyogharimu karibu nusu ya Pato la taifa hakuiweka wazi kuruhusu CAG aikague. Mlipumbazwa sana nyie wajinga mkaamini maneno yake. Tusipotezeane muda hapa ni Bora tuanzie upya
 
Back
Top Bottom