Tunamuomba Rais aingilie kati hili suala la watu kutekwa

Tunamuomba Rais aingilie kati hili suala la watu kutekwa

Wala sijasikia neno beberu
Hata Kabudi naye hasemi beberu siku hizi, tusiwalaumu viongozi ambao waliteuliwa na jiwe, jiwe aliwageuza wateule wake kama watoto, aliwapindua pindua anavyotaka, and ukijifanya mbishi unapewa makesi ya ajabu ajabu, Ikabidi akina Kabudi waweke degrees zao pembeni wacheze ngoma ya mwendazake. Now naona wote akili zimewarudia, Kabaki mmoja tu, huyu mtu anayeitwa Ndugai, ila naye siku zake zinahesabika.
 
Hapo watakatisha fedha na wahujumu uchumi wanachekea tumboni!
Kila mtu ataubeba msalaba wake ,mbona jiwe alituaminisha kuwa chini ya serikali yake hakuna ufisadi lkn CAG katuonyesha kuwa kulikuwa na ufisadi wa kihistoria
 
Sasa hivi tutaanza kusikia Matusi ya sijui Rais dhaifu, sijui Ombwe la Uongozi n.k!
 
View attachment 1785358

Tunamshukuru Mungu angalau kwa hili. Bado tuna kazi ya kuhakikisha sheria zote za kikoloni zinaondoka,tunapata katiba mpya na tume huru ya uchaguzi
Lissu aliwahi kusema Tanzania haijawahi kupata Rais wa ajabu kama awamu ya Tano , kiongozi anaongoza genge la wahalifu kama Sabaya anaambiwa "You have my full support"
 
Yaani hivi kweli unaweza kupima uongozi wa mtu kwa miezi miwili hii haingii akilini hata kidogo
 
Back
Top Bottom