Tunamuomba Rais aingilie kati hili suala la watu kutekwa

Acha ujinga kwa kujitoa ufahamu.....Bora tumuombe mtoto Yesu....anaweza Tenda.

Kuliko kupoteza muda...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Riport ya Uktekaji anayo Mtekaji - Roma
 
Kuna Watu ni wanafiki na upeo wao uko chini mno ! Unaweza ukajizuia usi -comment lakini unashindwa inabidi tu ufanye kitu!
Sasa huyu mleta uzi huu anataka kusema nini au anadhani wengi humu ni wajinga kama yeye! Poor Tanzanian!
Lumumba FC huyo anataka kuhamisha goli akidhani wote humu ndani ni MABSHITE kama Yeye.
 

Unaemuomba aingilie kati ndie anaeagiza watu kutekwa.
 
Akaushe tu... Tuendelee kunyooshana...

Usipokuwa mzalendo.. Daily unaitangaza nchi vibaya ujue unasababisha machafuko zaid.. Bora utekwe unyooshwe kwa vitendo.

Lengo kuu ni kukuonesha kuwa hao unaowatangazia maovu kwa kupata likes kwenye social network ujue hawana msaada tukikubanananisha... As u see now upo peke ako hapa... Tukiakuachia ukajifundishe kuishi.

Wanaharakati wanatakiwa kujifunza njia sahihi za kutafuta haki au kuleta mabadiriko na sio kuropoka ropoka na kuwapa advantages whitea waendelee kututawala kirahisi...

Binafsi pasipo kapepesa macho... Kwa hii nchi yetu ilipofikia na ubishi wetu wabongo wa kutokuwa na uzalendo...

Kutekana ndio best way kuweka mambo sawa...

Kazi ziendelee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww utatawaliwa na wazungu mpka ufe umetaka au hukutaka
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…