M Missile of the Nation JF-Expert Member Joined May 24, 2018 Posts 15,101 Reaction score 56,054 May 15, 2021 #81 Hii ya watu wasiojulikana was real, wengine tumenusurika kwenye tundu la sindano! Kwa hiyo tunaelewa what we are talking about! Tuna bahati ule utawala wa dhalimu umekoma!
Hii ya watu wasiojulikana was real, wengine tumenusurika kwenye tundu la sindano! Kwa hiyo tunaelewa what we are talking about! Tuna bahati ule utawala wa dhalimu umekoma!
N Noti bandia JF-Expert Member Joined May 3, 2020 Posts 2,684 Reaction score 4,315 May 15, 2021 #82 mbingunikwetu said: Hapo watakatisha fedha na wahujumu uchumi wanachekea tumboni! Click to expand... Kama na yeye alikua mwema kwanini mikataba ya matrilion iliyogharimu karibu nusu ya Pato la taifa hakuiweka wazi kuruhusu CAG aikague. Mlipumbazwa sana nyie wajinga mkaamini maneno yake. Tusipotezeane muda hapa ni Bora tuanzie upya
mbingunikwetu said: Hapo watakatisha fedha na wahujumu uchumi wanachekea tumboni! Click to expand... Kama na yeye alikua mwema kwanini mikataba ya matrilion iliyogharimu karibu nusu ya Pato la taifa hakuiweka wazi kuruhusu CAG aikague. Mlipumbazwa sana nyie wajinga mkaamini maneno yake. Tusipotezeane muda hapa ni Bora tuanzie upya
kmbwembwe JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 10,892 Reaction score 7,780 May 15, 2021 #83 OKW BOBAN SUNZU said: View attachment 1785358 Tunamshukuru Mungu angalau kwa hili. Bado tuna kazi ya kuhakikisha sheria zote za kikoloni zinaondoka,tunapata katiba mpya na tume huru ya uchaguzi Click to expand... Kama kawaida yenu mnajichekesha na kucheka. Mnaipaka awamu ya 5 uongo. Nani katekwa? Mkikamatwa kwa jinai mnasema mumetekwa...pambafu zenu
OKW BOBAN SUNZU said: View attachment 1785358 Tunamshukuru Mungu angalau kwa hili. Bado tuna kazi ya kuhakikisha sheria zote za kikoloni zinaondoka,tunapata katiba mpya na tume huru ya uchaguzi Click to expand... Kama kawaida yenu mnajichekesha na kucheka. Mnaipaka awamu ya 5 uongo. Nani katekwa? Mkikamatwa kwa jinai mnasema mumetekwa...pambafu zenu
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 May 15, 2021 #84 Neno NYUNGU pia limekuwa adimu sana.
Kinoamiguu JF-Expert Member Joined Nov 29, 2018 Posts 11,936 Reaction score 15,196 May 15, 2021 #85 OKW BOBAN SUNZU said: Media nazo zimepumua. Click to expand... Kuna mtu anaitwa musiba. Hahahahaha. Anashinda kwenye korido hajui anzie wapi???
OKW BOBAN SUNZU said: Media nazo zimepumua. Click to expand... Kuna mtu anaitwa musiba. Hahahahaha. Anashinda kwenye korido hajui anzie wapi???