assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,905
- 4,054
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Teuzi zimeisha wewe UVCCM
haiwezekani kila siku kutishanaTena atembeze kichapo kikali sana mpaka akili ziwakae sawa wakawahadithie makwao
Kaandamane basi.haiwezekani kila ck kutishana
kamanda tupo pa1 kupinga wanaomtisha Rais kwa maandamanoKaandamane basi.
Nenda kaifute hicho kipengele cha kuandamana kwenye katiba ndipo uje kupanua libakuli lako hapakamanda tupo pa1 kupinga wanaomtisha Rais kwa maandamano
Tanzania si mali ya shangazi yako, ni yetu sote.Utaratibu wa kuleta vurugu na maandamano ili kuvunja amani na kuleta mifarakano isiyo ya lazima haikubaliki na ni lazima raisi asimame kidete kwa watu wanaotaka kuleta fujo na vurugu.
Hali ngumu sio Tanzania tu, Nenda Kenya kaulize kuhusu garama za maisha je zipo chini? Hawa si wana tume huru, simatokeo yao yanahojiwa mahakamani, mshindi lazm apate 50%+1
Nadhani tufuate njia ya mazungumzo,maridhiano na kuvumiliana.
Ubabe haujawahi kushinda hata Raila Odinga huko kenya kaandamana watu wamekufa ,then wakarudi kuzungumza.
nasema wavunja amani Raisi asicheke nao hata kidogo
ThubutuMchuma janga hula na wa kwao, wapeleke familia zao barabarani.
Litaweza jimama lako? "Serikali yetu ni serikali ya anasa" F. MboweUtaratibu wa kuleta vurugu na maandamano ili kuvunja amani na kuleta mifarakano isiyo ya lazima haikubaliki na ni lazima raisi asimame kidete kwa watu wanaotaka kuleta fujo na vurugu.
Hali ngumu sio Tanzania tu, Nenda Kenya kaulize kuhusu garama za maisha je zipo chini? Hawa si wana tume huru, simatokeo yao yanahojiwa mahakamani, mshindi lazm apate 50%+1
Nadhani tufuate njia ya mazungumzo,maridhiano na kuvumiliana.
Ubabe haujawahi kushinda hata Raila Odinga huko kenya kaandamana watu wamekufa ,then wakarudi kuzungumza.
nasema wavunja amani Raisi asicheke nao hata kidogo
Kamtishe mama yako mbwa weweUtaratibu wa kuleta vurugu na maandamano ili kuvunja amani na kuleta mifarakano isiyo ya lazima haikubaliki na ni lazima raisi asimame kidete kwa watu wanaotaka kuleta fujo na vurugu.
Hali ngumu sio Tanzania tu, Nenda Kenya kaulize kuhusu garama za maisha je zipo chini? Hawa si wana tume huru, simatokeo yao yanahojiwa mahakamani, mshindi lazm apate 50%+1
Nadhani tufuate njia ya mazungumzo,maridhiano na kuvumiliana.
Ubabe haujawahi kushinda hata Raila Odinga huko kenya kaandamana watu wamekufa ,then wakarudi kuzungumza.
nasema wavunja amani Raisi asicheke nao hata kidogo
Huyu rais wa watu siyo yule sheitwan wenuUtaratibu wa kuleta vurugu na maandamano ili kuvunja amani na kuleta mifarakano isiyo ya lazima haikubaliki na ni lazima raisi asimame kidete kwa watu wanaotaka kuleta fujo na vurugu.
Hali ngumu sio Tanzania tu, Nenda Kenya kaulize kuhusu garama za maisha je zipo chini? Hawa si wana tume huru, simatokeo yao yanahojiwa mahakamani, mshindi lazm apate 50%+1
Nadhani tufuate njia ya mazungumzo,maridhiano na kuvumiliana.
Ubabe haujawahi kushinda hata Raila Odinga huko kenya kaandamana watu wamekufa ,then wakarudi kuzungumza.
nasema wavunja amani Raisi asicheke nao hata kidogo
Unawaza kwa kutumia masaburiTena atembeze kichapo kikali sana mpaka akili ziwakae sawa wakawahadithie makwao
Unatishika wewe kula kulalahaiwezekani kila siku kutishana
Hata hujui nini unaandika chawa weweKaandamane basi.
Ukiwa kula kulala lazima utakuwa na mawazo ya churakamanda tupo pa1 kupinga wanaomtisha Rais kwa maandamano
Haswaaa jibu zuri sanaNenda kaifute hicho kipengele cha kuandamana kwenye katiba ndipo uje kupanua libakuli lako hapa
Kama unajua hilo yanini sasa kupayuka payuka?Mchuma janga hula na wa kwao, wapeleke familia zao barabarani.