Pre GE2025 Tunamuomba Rais Samia atembeze kipigo cha mbwa koko kwa wote wanaotaka kuandamana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sawa
 
Kuna cinema ya ‘South Korea’ kwenye chaguzi zao kuna vyama viwili vikuu cha kikomunisti na kingine cha kibepari.

Ukikaribia uchaguzi kile chama cha kibepari wana jamaa yao wa usalama ‘North Korea’ yupo karibu na raisi. Basi zikianza kampeni wanaanza kuponda sera za ukomonunisti na kuiponda ‘North Korea’ kama dictator state.

Wakati majukwaani wanaiponda ‘North Korea’ na ukomonusti nyuma ya pazia wanamwita jamaa yao wa North Korea na kumshawishi amwambie raisi wao atishie kuivamia ‘South Korea’ na kufanya mazoezi ya kurusha makombora ili wawatishe wananchi wao halafu watamlipa hela ili wapate kura za uchaguzi.

Uchaguzi ukipita usikii tena habari za North Korea, kutaka kuivamia South Korea.

Ndio CHADEMA kama maigizo kwenda mbele ukata ukiwapiga washajua ‘Bi Tozo’ anawamwagia kichele watulie na Mbowe ndio mnufaika mkubwa.

Huu upuuzi wa kulipana hela ndio Magufuli alikuwa autaki mambo ambayo Mbowe na Zitto hawajazoea kukosa maokoto ya bure bure.

What a pity
 
Kwahiyo hali ngumu ikiwa Kenya basi ndio na Tanzania ni sawa kukiwa na hali ngumu.

Kazi na akili za viongozi ni pale ambako kuna shida ndio tunapaswa kuona maarifa yao na si vinginevyo
 

Punguza bangi
 

Bado hujaropoka. Kauli moja ya maandamano chawa mmeamka kutoka pangoni.
 

Siku nyingine ukiandika ujinga weka na namba ya simu wewe chawa.
 
Kasome katiba ya jmt maandamano yameruhusiwa mle usijemfundisha rais kuvunja katiba aliyoapa kuilinda!
 
Naunga mkono hoja,akiwatembezea kichapo kama Ruto alivhowafanya kina Odinga watashika adabu.

Mda wa Kuchezea amani ya Nchi umekwisha.
 
Hii nchi si mali ya Samia.
 
Tena atembeze kichapo kikali sana mpaka akili ziwakae sawa wakawahadithie makwao
Nimefanya tafiti kwa waliokupa like mpaka muda huu, ni wale tunaowaita "viazi kobazi".
Kuandamana ni haki kwa mujibu wa katiba.

Hivi kwa nini mnanipotezea muda wangu wa kumaliza hii VAT 69 ninyi "chawa"!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…