Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,982
Ukachukua namba ya bidada hlf usipige kinachofata hapo ni meseji za biti kali utasikia
"Usiponipigia leo nafuta hii namba yako mxxshnz@!#%£ wewe"
Ujakaa sawa unamsikia mwingine anasema
"sa we ulichukua namba irembeshe hiyo simu yako au😏
Wakuu meseji za manyanyaso zimekuwa too much sasa.
Yatosha kusema sasa yafaa tupatiwe ulinzi maana si kwa manyanyaso haya.