Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Bro nipigiedaah ubinafsi umepata tafsiri mpya..nimelia sana kwa comment hii aisee 🙆♂️nanyanyasika mie🥲
Bro nipigiedaah ubinafsi umepata tafsiri mpya..nimelia sana kwa comment hii aisee 🙆♂️nanyanyasika mie🥲
Sahihi kabisaa..kwaiyo unatk wapewe mkuu?
Sahihi chief...kwaiyo wanautaka?
kwahiyo unautaka mkuu au?Bro nipigie
Kama haupigi nipe namba nikupigie mie.....kwahiyo unautaka mkuu au?
Hee😳Huwa inakera mno, maana huwa tunataka kuwapiga vizinga😁
😆nicheki mkuu tukachachueKama haupigi nipe namba nikupigie mie.....
usiombe ikutokee mkuuSijawahi kutana na hii.
Inabidi niongeze juhudi za kuomba namba.
mkuu yani we acha tuMnawatoaga wapi
Polenimkuu yani we acha tu
ni mateso bila chuki
Waambie umechukua za emergency tu hukuwa serious hivyo 😂😂😂Ukachukua namba ya bidada hlf usipige kinachofata hapo ni meseji za biti kali utasikia
"Usiponipigia leo nafuta hii namba yako mxxshnz@!#%£ wewe"
Ujakaa sawa unamsikia mwingine anasema
"sa we ulichukua namba irembeshe hiyo simu yako au😏
Wakuu meseji za manyanyaso zimekuwa too much sasa.
Yatosha kusema sasa yafaa tupatiwe ulinzi maana si kwa manyanyaso haya.
asante kiongoziPoleni
Kila la heri mkuuasante kiongozi
ila nmepanga kwenda kurosti na mkuu Evelyne Salt kupooza haya machungu