Tunaochukua namba bila kupiga tunaomba ulinzi, tunanyanyasika

Tunaochukua namba bila kupiga tunaomba ulinzi, tunanyanyasika

Wanawake wamejaaliwa kipaji cha saikolojia ya kiintelijensia, ila wengi wao wanashindwa kuitumia.
Hakuna mwanaume asiyetoa hela kwa mwanamke ila inategemea Mwanamke anavyocheza na intelijensia yake kumsoma mwanaume wake.
Unakutana na mwanamke leoleo wamtongoza kabla hajakupa jibu kashaanza kupiga vizinga, wanakosa simile kabisa.
Ila kuna wale magwiji hakuombi hata mia yako, anakaa naww ktk mahusiano zaif hata ya miez 3 na muda huo anajidai kafa kaoza, na istoshe anakuwa yey ndo mwenye kumletea mwanaume viji zawadi, mara kamnunulia boxer, mara shati, suruali n.k. ila muda wote anamsoma mwanaume ana uchumi gani na anamudu kipi.
Siku akija mpiga mwanaume kizinga cha 3mil. Na muda huo anajua kbsa kuwa mwanaume ana uchumi unaomudu kiwango hicho bila kuwaza, asa hapo mwanaume anakwepaje sasa na akiangalia mwanamke hanaga pigo za vizinga, anajua kbsa huyu ana shida ya kweli anampatia hela, kumbe mwanamke anarudisha gharama zake za vijizawadi alvyokuwa anamnunulia na chenchi inabaki. Hao ndo magwiji, anakujaza kwenye mfumo na huchomoki. Ila hawa wa vizinga vya leoleo tunaita wakora.
😂😂😂😂 hii imeendaaa.
 
Para ya 2 at least uko sahihi sasa, kuwa uliomba ukutane nae kwa mara 2 mkiwa private, ndo maana akaomba na hela ya kusuka apendeze,

Useme ukweli ulimtongoza na hapo hapo akaanza kuomba vitu kwako. Hapa ntakubali ila sio eti hata hujazungumzia hitaji lako kwake kaanza kuomba, mmmh uongo huu.
Hapo kwenye kuomba tsh elfu 3, hata maongezi yalikuwa hayajachanganya..
Ilikuwa like..
Me: mambo
Her: poa, nan
Me: abdul,
Her: yupi
Me: yule tulokutana kwenye mkesha wa mwenge..
Her: ooh nimekupata, em nitumie elfu 3 nijiunge bundle my
 
Back
Top Bottom