Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,982
Bora usipige mkuu? 😂😂😂Shida tukipiga hapohapo..
1. Gesi inaisha
C. Anataka kusuka
3. Afu 3 ya bundle
Hapo hata shida yangu sijasema..
Hivi kwa nini wanakuwa wakali sana usipo wapigia?Ukachukua namba ya bidada hlf usipige kinachofata hapo ni meseji za biti kali utasikia
"Usinipigia leo nafuta hii namba yako mxxshnz@!#%£ wewe"
Ujakaa sawa unamsikia mwingine anasema
"sa we ulichukua namba irembeshe hiyo simu yako au😏
Wakuu meseji za manyanyaso zimekuwa too much sasa.
Yatosha kusema sasa yafaa tupatiwe ulinzi maana si kwa manyanyaso haya.
Kwanini mnataka tupige simu immediately? Binafsi kuna namba nimechukua tokea February mpaka leo sijamtafuta. Nasubiri a-depreciate makuu kwanzaSa unakua unachukua namba za simu za nini kama haupigi, si bora uombe za NIDA kama ndo hivo.....
kwaiyo unatk wapewe mkuu?Mwanamke anaekupa namba bila makubaliano ya kibiashara ama ukaribu wa kindugu anakuwa na Sexual intentions.... Mpe anachohitaji
Ukachukua namba ya bidada hlf usipige kinachofata hapo ni meseji za biti kali utasikia
"Usiponipigia leo nafuta hii namba yako mxxshnz@!#%£ wewe"
Ujakaa sawa unamsikia mwingine anasema
"sa we ulichukua namba irembeshe hiyo simu yako au
kwaiyo wanautaka?Mwanamke anaekupa namba bila makubaliano ya kibiashara ama ukaribu wa kindugu anakuwa na Sexual intentions.... Mpe anachohitaji
Shida gani hiyo yako, ambayo hutaki kusikia za mwenzako kwanza? Kumbe huwa mna shida, mseme nyinyi tu?Shida tukipiga hapohapo..
1. Gesi inaisha
C. Anataka kusuka
3. Afu 3 ya bundle
Hapo hata shida yangu sijasema..
😂😂😂 ye kasema shida yake ya namba kapewa, afu shida za mwenye namba hataki kusikia.....Shida gani hiyo yako, ambayo hutaki kusikia za mwenzako kwanza? Kumbe huwa mna shida, mseme nyinyi tu?
Evelyn Salt broo, hawa washkaji wanazingua sana kwa warembo zetu.
eti eenh? kwaiyo ukiombwa namba tu gesi inaisha, mama na bibizako wanaumwa apoapo ada ya mtoto inaisha 😳Shida gani hiyo yako, ambayo hutaki kusikia za mwenzako kwanza?
Mimi ni Me namuomba nani sasa? Umeelewa nilichoandika bro Keti eenh? kwaiyo ukiombwa namba tu gesi inaisha, mama na bibizako wanaumwa apoapo ada ya mtoto inaisha 😳
Wanawake wa bongo omba omba sana, wanyongwe.Mimi ni Me namuomba nani sasa? Umeelewa nilichoandika bro K
daah ubinafsi umepata tafsiri mpya..nimelia sana kwa comment hii aisee 🙆♂️nanyanyasika mie🥲Dah huu ubinafsi sana, imeniuma