Tunaochukua namba bila kupiga tunaomba ulinzi, tunanyanyasika

Shida tukipiga hapohapo..
1. Gesi inaisha
2. Anataka kusuka
3. Afu 3 ya bundle

Hapo hata shida yangu sijasema..
Huu ni uongo, hakuna mtu ataanza kukuomba kitu bila hata chombezo la kitu fulani.
Inawezekanaje?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ye kasema shida yake ya namba kapewa, afu shida za mwenye namba hataki kusikia.....

Dah huu ubinafsi sana, imeniuma.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huu ni uongo, hakuna mtu ataanza kukuomba kitu bila hata chombezo la kitu fulani.
Inawezekanaje?
Hao wanasimulia kutokana na uzoefu wao. Kama wewe haufanyi sikilizia...😎
 
Huu ni uongo, hakuna mtu ataanza kukuomba kitu bila hata chombezo la kitu fulani.
Inawezekanaje?
Nilichokiandika kilinikuta ila yeye nilipojitambulisha tu kuwa me ni mtu fulan uliyenipa namb sehem fulan.
Akanijibu amenikumbuka na baada ya salam tu aliomba bundle ya elfu 3.

Shida yenu watz wengi huwa hamuamin kitu mpk kiwatokee binafsi..

Women ar n't the sm, unachoona wewe hard kufanya mwenzako ni fasta tu
 
Hao wanasimulia kutokana na uzoefu wao. Kama wewe haufanyi sikilizia...😎
Hata km, yaan mtu akupigie tyuh, hata hamjazungumzia chochote, yeye ashaanza omba vitu?
Mbna haiwezekani kabisaa, Lol
 
Yaan mtu umempigia na kumpa salamu afu akaanza kuomba bundle la elf 3? Sio baada ya kujitambulisha kwake ndo akaomba hilo bundle? Na inategemea mlipeana wapi, ndo maana akawiwa haraka kuomba hivyo.
 
Hata km, yaan mtu akupigie tyuh, hata hamjazungumzia chochote, yeye ashaanza omba vitu?
Mbna haiwezekani kabisaa, Lol
Ndio hivyo, rafiki yangu alichukua namba kwenye lifti masaa mawili baada anaambiwa nasikia njaa, nipo kwenye chips hapa naomba 5k ninunue.😎
 
Yaan mtu umempigia na kumpa salamu afu akaanza kuomba bundle la elf 3? Sio baada ya kujitambulisha kwake ndo akaomba hilo bundle? Na inategemea mlipeana wapi, ndo maana akawiwa haraka kuomba hivyo.
Wamepinda hao. Huwa wakiona mkanda wa mwanaume wanajua ni ATM
 
Yaan mtu umempigia na kumpa salamu afu akaanza kuomba bundle la elf 3? Sio baada ya kujitambulisha kwake ndo akaomba hilo bundle? Na inategemea mlipeana wapi, ndo maana akawiwa haraka kuomba hivyo.
Hapa nimegundua tatizo 1, pengine ulivyo wewe ndivyo unavyotaka au unavyohc wengne wapo hvyo..

Huyo tulikutana kwenye sherehe za mwenye..
Na hata nlipoomba kuonana nae alitaka na hela ya kusuka ndipo aje.

Hapo sijakuhadithia ya wale tulokutana mtandaoni bdo...
 
Wanawake wamejaaliwa kipaji cha saikolojia ya kiintelijensia, ila wengi wao wanashindwa kuitumia.
Hakuna mwanaume asiyetoa hela kwa mwanamke ila inategemea Mwanamke anavyocheza na intelijensia yake kumsoma mwanaume wake.
Unakutana na mwanamke leoleo wamtongoza kabla hajakupa jibu kashaanza kupiga vizinga, wanakosa simile kabisa.
Ila kuna wale magwiji hakuombi hata mia yako, anakaa naww ktk mahusiano zaif hata ya miez 3 na muda huo anajidai kafa kaoza, na istoshe anakuwa yey ndo mwenye kumletea mwanaume viji zawadi, mara kamnunulia boxer, mara shati, suruali n.k. ila muda wote anamsoma mwanaume ana uchumi gani na anamudu kipi.
Siku akija mpiga mwanaume kizinga cha 3mil. Na muda huo anajua kbsa kuwa mwanaume ana uchumi unaomudu kiwango hicho bila kuwaza, asa hapo mwanaume anakwepaje sasa na akiangalia mwanamke hanaga pigo za vizinga, anajua kbsa huyu ana shida ya kweli anampatia hela, kumbe mwanamke anarudisha gharama zake za vijizawadi alvyokuwa anamnunulia na chenchi inabaki. Hao ndo magwiji, anakujaza kwenye mfumo na huchomoki. Ila hawa wa vizinga vya leoleo tunaita wakora.
 
Para ya 2 at least uko sahihi sasa, kuwa uliomba ukutane nae kwa mara 2 mkiwa private, ndo maana akaomba na hela ya kusuka apendeze,

Useme ukweli ulimtongoza na hapo hapo akaanza kuomba vitu kwako. Hapa ntakubali ila sio eti hata hujazungumzia hitaji lako kwake kaanza kuomba, mmmh uongo huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…