ππππ hii imeendaaa.Wanawake wamejaaliwa kipaji cha saikolojia ya kiintelijensia, ila wengi wao wanashindwa kuitumia.
Hakuna mwanaume asiyetoa hela kwa mwanamke ila inategemea Mwanamke anavyocheza na intelijensia yake kumsoma mwanaume wake.
Unakutana na mwanamke leoleo wamtongoza kabla hajakupa jibu kashaanza kupiga vizinga, wanakosa simile kabisa.
Ila kuna wale magwiji hakuombi hata mia yako, anakaa naww ktk mahusiano zaif hata ya miez 3 na muda huo anajidai kafa kaoza, na istoshe anakuwa yey ndo mwenye kumletea mwanaume viji zawadi, mara kamnunulia boxer, mara shati, suruali n.k. ila muda wote anamsoma mwanaume ana uchumi gani na anamudu kipi.
Siku akija mpiga mwanaume kizinga cha 3mil. Na muda huo anajua kbsa kuwa mwanaume ana uchumi unaomudu kiwango hicho bila kuwaza, asa hapo mwanaume anakwepaje sasa na akiangalia mwanamke hanaga pigo za vizinga, anajua kbsa huyu ana shida ya kweli anampatia hela, kumbe mwanamke anarudisha gharama zake za vijizawadi alvyokuwa anamnunulia na chenchi inabaki. Hao ndo magwiji, anakujaza kwenye mfumo na huchomoki. Ila hawa wa vizinga vya leoleo tunaita wakora.
Hapo kwenye kuomba tsh elfu 3, hata maongezi yalikuwa hayajachanganya..Para ya 2 at least uko sahihi sasa, kuwa uliomba ukutane nae kwa mara 2 mkiwa private, ndo maana akaomba na hela ya kusuka apendeze,
Useme ukweli ulimtongoza na hapo hapo akaanza kuomba vitu kwako. Hapa ntakubali ila sio eti hata hujazungumzia hitaji lako kwake kaanza kuomba, mmmh uongo huu.
Sijui hawa watu hujitoa ufaham au wamejiprogramDuuh bas hatarii sanaa.
InashangazaaSijui hawa watu hujitoa ufaham au wamejiprogram
Ka research kangu kanasema hivyoπππWee em sema kweli?!
Em apia?! πππKa research kangu kanasema hivyoπππ
Haki ya mama, mwanaume akikuomba namba barabarani ama popote jua anataka kukudinyaEm apia?! πππ
Yoyooo wee, mbna naogopaaa. LolHaki ya mama, mwanaume akikuomba namba barabarani ama popote jua anataka kukudinya
kupatwa kwa ''em'πWee em sema kweli?!
Heeπ³hivi kumbe kuna watu bado wanatongozana sikuhizi?Useme ukweli ulimtongoza na hapo hapo akaanza kuomba vitu kwako
Kwambaa?Heeπ³hivi kumbe kuna watu bado wanatongozana sikuhizi?
no mtongozo saiviKwambaa?
Ila nn?no mtongozo saivi
saivi hatutongozi mkuuIla nn?
Aaah kumbe, bas sawaasaivi hatutongozi mkuu
Tunaelekezana
karibu mkuuAaah kumbe, bas sawaa
ila coment zako huwa zinanifurahishaga sana. yaani huwa nikizisoma nabaki nacheka tu. mfano hapa eti si bora uchukue namba ya nida tu.Sa unakua unachukua namba za simu za nini kama haupigi, si bora uombe za NIDA kama ndo hivo.....
Hee.. kwahiyo ukinipa namba kumbe unakua umenitatulia shida? Kwamba kuomba namba nayo ni shida? Ila wanawake..ππππ ye kasema shida yake ya namba kapewa, afu shida za mwenye namba hataki kusikia.....
Dah huu ubinafsi sana, imeniuma.
Sasa si shida hiyo jamani au.....!!?πHee.. kwahiyo ukinipa namba kumbe unakua umenitatulia shida? Kwamba kuomba namba nayo ni shida? Ila wanawake..π
Ahsanteekaribu mkuu