Zee la Nyeti
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 697
- 461
Kigari gani hicho ambacho hupeleki hata car wash! ukitaka kuosha unampa dada wa kazi anakimix na vyombo anakiosha then anakitia kwenye beseni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀😀😀aiseeeKigari gani hicho ambacho hupeleki hata car wash! ukitaka kuosha unampa dada wa kazi anakimix na vyombo anakiosha then anakitia kwenye beseni.
Kupanga ni kuchagua.Hiyo brevis inakula sana mafuta lasivyo uwe na bodaboda ili ukiishiwa hela ya mafuta unaendesha bodaboda
Hivi na sisi wenye cc 1500 tupo kwenye kundi la baby walker???
Mimi naendesha Nissan cc1500 highway napata mpaka 14 km per litre....
Sasa hiyo yako inkupa km 16 kwa cc 660 Nadhani itakuwa mbovu au service hufanyi kwa wakati
Ukiwa unataka kusema uongo jaribu basi hata kuwa na details kamili ambazo zitafanania na ukweli......
Sasa wewe kagari kama Terrios Kid.....cc 660 kanamalizaje lita moja kwa kutembea km 13.5?!
Kwa hizo cc 660 kama ulikuwa haufahamu, hiyo gari ingeweza tembea hadi km 26+/litre na sio km 13.
Sasa wewe unatunga vitu halafu unakuja kutuambiaje hapa.....!
Naona umeamua kumuiga miss tanzaniaWakuu Habari
Personally nimenunua babywalker Daihatsu Terios Kid cc 660 na hivi ndivyo nlivyoviaona mpaka sasa;
Gari:
kwanza lina turbo(bila
Intercooler), max speed 140kph, tank capacity ni 40lts, sio 4WD, gari lipo juu nakatiza nalo popote bila shida
Ulaji wa Mafuta ,
ukiwa mjini na jam + AC ni 9.5km/l,(speed 40kph)
highway + AC ni 13.5km/l na (speed 120kph)
highway bila AC ni 16km/l (speed 120kph)
Comfortability:
Naona lipo comfortable sanah maana hata kwenye kona naweza kata kwa speed yoyote bila shida
Spacing:
Halina buti kubwa kabisah unaweza hifadhi vitu vichache
Spea:
Spea zake zapatikana na bei zake ni reasonable
Matatizo:
Mpaka sasa sijaona tatizo lolote
Nakaribisha wadau tushare uzoefu, especially kwa safari ndefu je vinaweza kuhimili safari nyingi!?
1. Hujui kuendesha kwa hiyo gari ulipaswa kwenda kwa 20km/l1 ya mafuta.
2. Hiyo siyo gari. Baada ya muda itaanza kuchemsha labda ibaki ya kufuatia nyanya sokoni. Gari za kukusaidia angalaua anxa na cc1290.
3. Hongera kumiliki magurudumu manne.
Okay. Hiyo nahisi ni supercharger. Maana turbocharger huwa inaleta hewa ya moto saana, ndio maana inabidi ipite kwenye intercooler kupozwa kidogo. Ila supercharger mara nyingi hazina intercooler, vile zinazungushwa kwa speed ya engine.
inawezekana mkuu....siwezi pinga maana sina ushahidi madhubuti juu ya hili.Mkoani nazipata kirahisi, mliopo Dar si ndo zipo Bwerere jamani
Speed 120 na bado hajashtuka.Hata mimi nimeshangaa yaa cc660 bado inaenda k 16 per ltr kweli hajui endesha au imetoboka tank
Wewe siyo mzima!Kama inakula mafuta achana nayo chukua inayo kula mtori
Ha ha hs ha ha umetisha zee la nyeti ha ha haKigari gani hicho ambacho hupeleki hata car wash! ukitaka kuosha unampa dada wa kazi anakimix na vyombo anakiosha then anakitia kwenye beseni.