Tunaoendesha 'Baby Walkers' specifically za 660cc tupenae uzoefu wa hizi gari

Tunaoendesha 'Baby Walkers' specifically za 660cc tupenae uzoefu wa hizi gari

Kigari gani hicho ambacho hupeleki hata car wash! ukitaka kuosha unampa dada wa kazi anakimix na vyombo anakiosha then anakitia kwenye beseni.
Ahaaaaahaaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....ila JF daaah!
 
kasema ukweli hakuna cc660 .gari itaenda hizo km 26...labda iwe ya deasel...huna expirience au huna kabisa gari...story tu...
Ukiwa unataka kusema uongo jaribu basi hata kuwa na details kamili ambazo zitafanania na ukweli......

Sasa wewe kagari kama Terrios Kid.....cc 660 kanamalizaje lita moja kwa kutembea km 13.5?!

Kwa hizo cc 660 kama ulikuwa haufahamu, hiyo gari ingeweza tembea hadi km 26+/litre na sio km 13.

Sasa wewe unatunga vitu halafu unakuja kutuambiaje hapa.....!
 
View attachment 886816

Mimi baby walker wangu ni wa dizaini hii... Hizi gari kwa huko Japan zinaitwa KEI cars... Yani gari zote zenye engine chini ya 650cc ziko categorized as KEI car. Hii ilikuwa ni kuwasaidia watu wa kipato cha chini ambao wanaweza kumudu kutumia piki piki waweze kutumia gari.

Kuhusu Pajero Mini, this is a super car on its class. Huwa nina uwezo wa kusimama toka spidi sitini hadi 0 ndani ya sekunde chace tu na kwa umbali usiozidi mita mbili.
Kuhusu kiwese, hizi Jeep hazikuundwa kuwa fuel efficient. Japo ni cc 650 lakini Vitz ina ulaji mdogo wa mafuta kuliko hii gari.
Kwa jinsi kalivyo stable, huwa sikati kona, nalala nako kwenye kona. Huwa sipunguzi mwendo kwenye matuta naruka nako hivyo hivyo. Ukiniona niko kwenye hii gari, kaa mbali na mimi. Nitakupita kama unyoya.
This is one of the best cars to have kwa njia zetu hizi.

Mbona uliiponda hii gari kua ni mbovu?

Screenshot_20181019-183506.png
 
why umehisi kuwa ni uongo na usifikirie kama wengine walivyofikiri nje ya box kuwa inawezekana gari yake ina tatizo? inawezekana kabisa gari yenye cc 500 ikatembea km 10 kwa lita moja. kivipi? kuna mambo muhimu ya kitaalamu yanayoweza sababisha utumiaji wa mafuta usio sahihi so hili hebu waachie wataalam wamwelekeze usimhukumu kuwa ni mwongo ilhali inawezekana gari yake ina shida.
Ukiwa unataka kusema uongo jaribu basi hata kuwa na details kamili ambazo zitafanania na ukweli......

Sasa wewe kagari kama Terrios Kid.....cc 660 kanamalizaje lita moja kwa kutembea km 13.5?!

Kwa hizo cc 660 kama ulikuwa haufahamu, hiyo gari ingeweza tembea hadi km 26+/litre na sio km 13.

Sasa wewe unatunga vitu halafu unakuja kutuambiaje hapa.....!
 
Hapa nilitaka kucheka lakini emoji sizioni kwenye sim yangu nimebaki natabasam tuu
1. Hujui kuendesha kwa hiyo gari ulipaswa kwenda kwa 20km/l1 ya mafuta.

2. Hiyo siyo gari. Baada ya muda itaanza kuchemsha labda ibaki ya kufuatia nyanya sokoni. Gari za kukusaidia angalaua anxa na cc1290.

3. Hongera kumiliki magurudumu manne.
 
Na mimi nimeshangaa, huwa natembea na passo 13km/l na Ac muda wote na hiyo Cc990 haka katakwendaje umbali mfupi hivyo kwa Lita
 
Huwa najaribu tu kuwaza kama ndio unamiliki Baby walker halafu umekwenda kwenye tafrija ambayo kila mtu pale ana magari yenye label kubwa kubwa ,unaweza kujikuta umeipaki mtaa wa pili ukaingia mwenyewe on foot...
 
Hivi na sisi wenye cc 1500 tupo kwenye kundi la baby walker???

Mimi naendesha Nissan cc1500 highway napata mpaka 14 km per litre....

Sasa hiyo yako inkupa km 16 kwa cc 660 Nadhani itakuwa mbovu au service hufanyi kwa wakati
Nissan gani hiyo mkuu, 1500 ni lita ni kuanzia km 13 kushuka..... 1500 ni consumption ya kati
 
Back
Top Bottom