ProBook
JF-Expert Member
- Jan 13, 2012
- 559
- 264
- Thread starter
- #81
kuna kitu inaitwa power. to weight ratio...so usizan cc ndogo ndo zinakupa fuel economy nzuri sana ..sababu when going uphill ka engine kadogo kanafanya kazi kubwa kuliko engine kubwa hivo rpm inakuwa juu na ndivyo ulaji wa mafuta hupanda....pil ameshasema gari ina turbo means sio nguvu ya cc 660 tena kama gari nyingne hapo unakuta gari inatoa hp za engine ya cc 1300 may be so tegemea ulaji wa mafuta kama gari ya cc 1300
Well said mkuu.. na pia naendesha nakanyagia haswa boosting turbo sanah rpm za kutosha