Tunaofanya Mazoezi tukutane hapa

Tunaofanya Mazoezi tukutane hapa

Walahi hutoboi.Yaani nidham ya kula ndio Kila kitu,mtu ulikuwa una kunywa uji kikombe kimoja ila ukipiga tizi utapiga vinne na Bado unataka upungue,Kwa kweli huo muujiza haupo.
Atanenepa mpk sikio
 
Wasikudanganye unajikimbiza bure ndambi hio haitapungua itaongezeka
 
Mimi kila siku napasha nikiweza . Napenda kukimbia na kufanya natural strong man training. Mwili wangu una asili ya unene toka mtoto ila napenda kuwa always active . KARIBUNI TUPASHE PASHE . Mtu yoyote karibuni siku moja moja tuguse zoezi . Unaweza ukaona mfano wa mazoezi yangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]





 
Asikwambie mtu acha kula hiki kula hiki..hata hyo sukari wanayosema isiliwe ina kazi kubwa tuuu...mwili unatakiwa milo yote but in right proportinal...mimi nakula vyote na sina mwili wa kusema eti nipungue...but najua kubalance na mazoezi nafanya kwenye matukio labda niende mahali kwa miguu nichelewe ndo nitarudi kwa speed ya mazoezi...usiache kula kitu chochote...ila kula wisely..
 
Nafanya mazoezi kua fit tu wala sio kupungua, niwe na pumzi kasi, nguvu nk.

Mambo ya kula michemsho, kitimoto nipangiwe jinsi ya kula, gambe niache hiyo ni big NO.
 
Hahahahahaha uwiiii aisee Hadi maskio jaman
Ilishanitokea hyo..nilikua nafanya mazoezi nikirudi nakula mara mbili yake tena usiku wali maharage wee..nilinenepa mpk sikio...sijarudia tenaa
 
Back
Top Bottom