MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Mbona 80kg ni uzito wa kawaida? una urefu gani?Uko sahihi asilimia zote na point vyakula ndo Kila kitu,Mimi nilikua na 80 na kitu hukooo watu wananishangaa nikaanza kujitune kwenye vyakula Tena vile vile vyakula vyangu ninavokula ila nilipunguza kiasi kikubwa nilifika mpk 65kgs sometimes nilikua usiku nakunywa maji mengi na nanasi ,au embe au tunda lolote la sukari lile!
Sikuwahi kukimbia Wala kwenda gym yoyote Wala mazoezi ni mlo TU Baasi mwili unapungua wenyewe