Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 2,255
- 2,825
Mchawi chakula tu ukikosa msosi lazima upungue ishu ni kujinyima kula
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale wenzetu hawali kutwa mara 3 kama sisi. Na mm nimeanza hiyo campaign. In African context, especially Tanzania watu wanakula katika mifumo ya fixed table... Hawa wakati wa kushauriwa usi'ignore' tamaduni yakeOfcoz unapofunga au unapoacha wanga haushauriwi kufanya vigorous exercise, ni mazoezi moderate kama vile kutembea,
Kuhusu swala la wanga sina uhakika lakini Hossain Bolt mkimbiaji maarufu hatumii wanga ye ni fruits and vegetables only, na record zake zinajulikana
Kuna mboga mboga zina madini ya proteins, pia hata matunda mfano parachichi na vyakula vya mbegu mbegu kama soya ingawa si sawa na kiwango kitachokuwepo kwenye nyama au samaki.Nina marafiki kibao kwao nyama hawali wanapata wapi protein, and their healthy more than average meat eaters
Mazoezi ni muhimu sana, ila ya kufanya mwenyewe peke yako hutoboiMimi sipendi mazoezi ila nimefikia Ile steji ya no way out. Chakula kama chakula kufanya diet au kula michemsho siwezi wenzangu.
Maana kunywa sinywi, club sipendi, starehe yangu ni masotojo tu. Sasa mwili unapoelekea Kwa kweli sio pazuri.
Hii ni wiki ya tatu mfululizo ila napiga ya nyumbani mbio kuzunguka uwanja.
Sit-up sijui ya kukata tumbo. Binafsi naona mwili umeanza kuwa mwepesi.
Naomba kwa wanaofanya mazoezi tupeane ABC please. Vyakula vya kula. Mazoezi ya kufanya na pia tutiane moyo. Binafsi nataka niwe na mwili kama wa Gabu union au tiwa savage nikifikisha 40 bila surgery maana najiona kabisa siwezi kuoitolerate hiyo surgery.
Najilainisha kwanza kabla sijaanza kwenda gym wasije wakanitoa roho bure ma treinaaaa😂😂
NaziombaMm nitawaidia hapa nyimbo za kufanyi mazoezi hapa Kam watakuwa siriaz
Tofari ,niache kura na wariNierekeze.kwako nije na tofar zangu utakua unabeba huku unakimbiq.wiki 1 utakuq nq kiro 40
Waweza kuendelea kula, ila hakikisha nakuwa mchana zaidi, na sio mlo wa usiku.Tofari ,niache kura na wari
Je kuna athari gani za kula chakula cha wanga wakati wa usiku? Hii ni swali ambalo watu wengi hujiuliza hasa wanapofuatilia uzito wao. Chakula cha wanga ni chanzo cha nishati kwa mwili na hupunguza njaa. Hata hivyo, kula chakula cha wanga wakati wa usiku kunaweza kuwa na athari mbaya kwa afya yako. Baadhi ya athari hizo ni:
- Kuongeza uzito: Kula chakula cha wanga wakati wa usiku kunaweza kusababisha kuongezeka kwa kalori zaidi kuliko unazotumia. Hii inaweza kusababisha kuongezeka kwa mafuta mwilini na uzito kupita kiasi.
- Kusumbua usingizi: Chakula cha wanga kinaweza kuongeza kiwango cha sukari mwilini na kusababisha mabadiliko katika homoni za usingizi. Hii inaweza kufanya ugumu wa kulala au kuamka mara kwa mara usiku.
- Kuathiri afya ya moyo: Chakula cha wanga kinaweza kuongeza kiwango cha triglycerides na cholesterol mwilini. Hii inaweza kuongeza hatari ya magonjwa ya moyo na mishipa ya damu.
Meek mill ft. Davido fans.Naziomba
mzee fanya gym subscription tu huna namnaMimi sipendi mazoezi ila nimefikia Ile steji ya no way out. Chakula kama chakula kufanya diet au kula michemsho siwezi wenzangu.
Maana kunywa sinywi, club sipendi, starehe yangu ni masotojo tu. Sasa mwili unapoelekea Kwa kweli sio pazuri.
Hii ni wiki ya tatu mfululizo ila napiga ya nyumbani mbio kuzunguka uwanja.
Sit-up sijui ya kukata tumbo. Binafsi naona mwili umeanza kuwa mwepesi.
Naomba kwa wanaofanya mazoezi tupeane ABC please. Vyakula vya kula. Mazoezi ya kufanya na pia tutiane moyo. Binafsi nataka niwe na mwili kama wa Gabu union au tiwa savage nikifikisha 40 bila surgery maana najiona kabisa siwezi kuoitolerate hiyo surgery.
Najilainisha kwanza kabla sijaanza kwenda gym wasije wakanitoa roho bure ma treinaaaa😂😂
hii mambo ya kukimbia mabarabarani aisee kwa nchi zetu za Africa ni hatariNaamka saa 11, karibu na kwangu kuna kilima, napandisha na kushuka mara 2.... Napiga pushup 20, squatting kama 10 kwa kila aina ya squatting na kuruka kamba 100...
Nimeacha soda na sukari na vileo vyote situmii.. ila sina ratiba ya msosi, chchte na kula ila kisiwe na mafuta mengi na sukari ...
Ila sina kilo nyingii, kuna kipind nilianza kuhisi kunenepa..
Mimi sikimbii barabarani kbsa.... Kwanza spend watu wanione nafanya mazoezi... Nakimbia hapa karibu na kwangu kuna mlima na sio barabara insyopita magari..hii mambo ya kukimbia mabarabarani aisee kwa nchi zetu za Africa ni hatari
pili sio sustainable
na pia gym subscriptions in a long term ni ghali na sometimes logistics ni issue
issue ni ujenge home gym with all equipments,unaanza na vya muhimu kwanza
hapo kutakua hakuna excuses
mabarabarani huko ni uduwanzi full kuonekana ,hata siku ulikula kicheche ghafla kinakuona road...hahahaaa
road za bongo hazina special spaces za jogging,utagongwa tu one day na bodaboda kichaa!
Ktk ratiba yako usiache mtindiNaomba nisajestie walau aina tatu ya milo
Sasa na huo ufit wako ulishindwaje kuwadunda hao wezi🤣🤣🤣🤣🤣Hakuna siku imenipita bila mazoezi. Nina saa 1.30 kila siku.
Hata nikisafiri ile nafasi ile squre Mita 2 kwa 2 inanitosha sana hapo chumbani hotel nilipofikia.
Wengi wana-fail mazoezi kusikia uvivu ksbb wengi wanawaza lazima aende gym au uwanjani. No. Huko huko chumbani kwako kila siku kutakupa morali ya juu sana kufanya kila siku mazoezi. Ni namna tu ujue mazoezi gani ufanye ya kukutosha,na kukutoa jasho la kutosha pia. Home kwangu nimetenga room kabisa la mazoezi.
Nina miaka 40+ nimeanza mazoezi tangu nina miaka 20. Niko fit sana mimi mwenyewe najiona.
Mazoezi ni kila kitu cha Kwanza kwangu baada ya MUNGU. Unafuata msosi.
Lazima kila siku niwe na mlo mmoja waatunda tu. Hasa usiku. Nagonga sinia zima la mchanganyiko wa parachichi+papai+tikit+nanasi. Hiyo kila siku saa 1au 2 baada ya hapo sili kitu kingine. Mwanzo huu msosi ni mgumu. Baadae mwili wenyewe unazoea
Nimeongea sana wakuu. Naomba msaada mwenye ule Uzi wa ufugaji wa mbwa. Wezi wanatuzingua hatari mtaa wetu. Hapa wametoka kuniliza frat screen. Nataka kufuga mbwa kwanza. Nataka ule Uzi una namna ya jinsi ya kuwatunza hao viumbe. Msaada tafadhali
Kasoma kamusi maana ya kuibiwa. Hata komandoo anaibiwa.Sasa na huo ufit wako ulishindwaje kuwadunda hao wezi🤣🤣🤣🤣🤣
Mtindi kumbe unalainisha mambo eehKtk ratiba yako usiache mtindi
Unasaidia sana kwenye digestion
Mchana unaweza kula mtindi na ndizi mbivu inasaidia sana kupata choo kubwa ambayo ni mkusanyiko wa chakula
Kuna mtu alinishauri nitumie jagamaster 😛inakata mafuta kwa haraka🤗
Ni kweli kabisa, Mimi naweza toa ushuhuda kuwa nimeanza mazoezi nikiwa na miaka 23 na sasa Nina miaka 40, si kwamba nafanya mazoezi kila siku hapana Ila mazoezi ni part of my life. Nikivaa uniform unaweza sema ni mwanafunzi. Sasa turudi kwenye kula Mimi mtu akinifuata chakula nnachokula wakati amepotea kabisa. Mimi ninakula hatari Ila mwili wangu uko vilevile kwa sababu mazoezi ndo maisha yangu. Na kitu kingine kinachonisaidia situmii kilevi vha aina yoyote. Napenda Sana chai na pia natumia asali kidogo. Na kwetu utaratibu ni kwamba juice haiongezwi sukari no matunda yenyewe tu. Tuwe wakweli mazoezi ni muhimu Sana kwa afya zetu. Japo nunua kamba itakusaidia. Na pia misosi hapo pia ni sumu kubwa.Kwa ndoto ulizo nazo bila kubadili aina yako ya ulaji ni kazi bure mwili mzuri ni chakula health mazoezi ni kidogo sana haya play part kubwa.badili ulaji wako na mazoezi ndo itakusaidia unafanya mazoezi una burn calories kidogo una kula masotojo unaingiza calories kibao waste of time mambo hayo wafanye watu walokolewa na mazoezi haswa miaka washajenga misuli abs six pack hata a kila sotojo anaenda kuzitoa sio mwenzangu na mie utabaki tu mazoezi kwa afya kuwa sijui kama Gaby union tiwa savage sahau.download application za mazoezi zitakusaidia huto hitaji gym maana ni kama trainer tu anakuelekeza anakuhesabia Je unajua english??
Mbona unakula Sana Tena vyakula vyenyewe vingi carbohydrates.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]unamkubali gaby union,kama mie na Nina figa kama yake,binafsi zaid ya kuruka kamba asubuh na jion sina mazoez.
Nazingatia mlo tu,asubuh napata kikombe kimoja Cha maziwa fresh na sambusa mbili,na maji glass moja.
Mchana napata wali ,ugali au ndizi na samaki au kuku na mbogamboga,matunda,plus maji na juice.
Usiku mlo wowote mwepesi na maji ya kutosha,na sili ikipita saa mbili usiku.mwisho wa kula msosi wowote ni saa mbili usiku.
Zingatia ulaji wako,mfano kitimoto au chipsi,mishkak natumia Mara chache Sana.
Hamna lolote ishu ni kutokula sana mazoezi ni ziada tuu ata ya nyumbani yanatosha na hamna shida ya gym.mzee fanya gym subscription tu huna namna
hii ya nyumbani sijui sit ups and other blah blah hakuna lolote utapata
issue ni kwenda gym na kufanya kazi hasa kama maisha yako really depend on it
kama una kakipato home kwako weka gym kabisa na swimming pool,na kama space ni kubwa zaidi weka two in one basket court na tennis duo.
baada ya hapo basi
hizi sijui nimekimbia kidogo road,siku utagongwa na gari,ingia gym kabisa ufanye kazi kwa 60minutes hasa,no cheating!