speech
JF-Expert Member
- Mar 4, 2022
- 484
- 1,266
Samahani mama.....Mimi sio dada. Hilo jina lisome vizuri utaelewa maana yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samahani mama.....Mimi sio dada. Hilo jina lisome vizuri utaelewa maana yake.
Tafuta kitabu cha sayansi ya mapishi uta enjoy, mazoezi utafanya kidogo kwa ajili ya kuweka mwili fit tuu.Aiseee unanitisha ....ule mwili WA shishi ni night mare...
Protein nyingi naamini Haina madhara
Trainer kama Trainer 🤣Zingatia unachokula kwa sana.
Anyway, ukihitaji trainer niko hapa
Yaaan ule nyama tu èhTafuta kitabu cha sayansi ya mapishi uta enjoy, mazoezi utafanya kidogo kwa ajili ya kuweka mwili fit tuu.View attachment 2646458
Mwanzo ni mgumu ila unaweza kuanza na kupunguza vyakula vyenye sukari na mafuta.Naomba nisajestie walau aina tatu ya milo
Eeeh kama mfupi sawa ila kwa mrefu naona kama kilo chache hizoMimi ni mwembamba napenda sana mazoezi na nafanya kila siku asubuhi siendi gym nina app ya home workout sasa matokeo yake kila mtu akiniona swali uwa ni dogo unaumwa mbona umekonda sana?
Najua kinachonikondesha ni mazoezi na chakula nafikiria kuacha mazoezi ila facts ni kuwa imekuwa part ya maisha yangu nikitoka bila push ups kadhaa naona siku yangu haijakamilika sasa nimeamua kuanza kupika mwenyewe ila nione kama nitagain weight ambayo itapunguza maswali.
Note nilikuwa na Kilo 58 sasa nipo kwenye 53
yes nyama na mapishi yake yote ila mafuta tumia ya nazi, olive au butter ile og sio za kwenye makopoYaaan ule nyama tu èh
Chakula sio suluhu la kudumu. Kama hushughulishi mwili utanenepa tu hata ushindie mikateChakula ndo password
Fanya mazoez wew mmasai achana na diet balance sijui kuifanyaje fanyaje. Vyakula vyote mwilini vinahitajika.. choma caloriesNaomba nisajestie walau aina tatu ya milo
Mm nitawaidia hapa nyimbo za kufanyi mazoezi hapa Kam watakuwa siriazHakuna siku imenipita bila mazoezi. Nina saa 1.30 kila siku.
Hata nikisafiri ile nafasi ile squre Mita 2 kwa 2 inanitosha sana hapo chumbani hotel nilipofikia.
Wengi wana-fail mazoezi kusikia uvivu ksbb wengi wanawaza lazima aende gym au uwanjani. No. Huko huko chumbani kwako kila siku kutakupa morali ya juu sana kufanya kila siku mazoezi. Ni namna tu ujue mazoezi gani ufanye ya kukutosha,na kukutoa jasho la kutosha pia. Home kwangu nimetenga room kabisa la mazoezi.
Nina miaka 40+ nimeanza mazoezi tangu nina miaka 20. Niko fit sana mimi mwenyewe najiona.
Mazoezi ni kila kitu cha Kwanza kwangu baada ya MUNGU. Unafuata msosi.
Lazima kila siku niwe na mlo mmoja waatunda tu. Hasa usiku. Nagonga sinia zima la mchanganyiko wa parachichi+papai+tikit+nanasi. Hiyo kila siku saa 1au 2 baada ya hapo sili kitu kingine. Mwanzo huu msosi ni mgumu. Baadae mwili wenyewe unazoea
Nimeongea sana wakuu. Naomba msaada mwenye ule Uzi wa ufugaji wa mbwa. Wezi wanatuzingua hatari mtaa wetu. Hapa wametoka kuniliza frat screen. Nataka kufuga mbwa kwanza. Nataka ule Uzi una namna ya jinsi ya kuwatunza hao viumbe. Msaada tafadhali
Hapa ninachokiona mkuu ni balance ya chakula iwe ngazi ya wiki au mwezi mana chakula Cha aina yoyote mwilini kina sabab zake. Huwezi kuacha/punguza kula wanga unaozalisha glucose mwilini huko mazoezin Kuna siku utazimia tuKufunga hakuepukiki kwenye swala la kubalance mwili.
Kufunga sio lazima mwezi mmoja wala jioni tu waweza kufanya intermittent fasting, kwa kuskip mlo aidha asubuhi, mchana au jioni.
Pia unaweza kushift from flesh based food to natural organic plants based food matunda na mboga za majani for three days or day by day alternating.
Destructing is easy and enjoyable than building which is hard and painfull.
Advice; find a good trainer who balance both exercise and food or a friend who knows the way to be honest lifestyle changing is not that easy
hapo naona umemwambia ale wanga tena asubuhi kitu ambacho sio sahihiMwanzo ni mgumu ila unaweza kuanza na kupunguza vyakula vyenye sukari na mafuta.
Tuseme umefanya mazoezi asubuh hapo lazima uwe na njaa ya kutosha na kawaida mwili utalazimisha ule sana ushibe urudishie ulipotoa.
Kunywa chai na viazi au mihogo yani kwa kifupi epuka mafuta mafuta kama mandazi,vitumbua n.k
Mchana kula zako wali au ugali kwa wastani na mboga ya kutosha na usiku kula kidogo tu au unapiga zako matunda then ulale.
Pia hapo kati usisahau kula matunda ya kutosha na maji pia.
Kumbuka hii ni mwanzo tu kwasababu tulisema ukate vyakula vya sukari na mafuta mafuta kabisa.
Huyo Hali saaaasa, huyo ANAPAKIAWanakula sio kidogo Aisee, unakuta mtu ana chupa za chai zenye uji kama mbili ama tatu kwa siku, mtori, supu, mayai na vitu vingi yaani mpaka mtu unakaribia kufilisika !
Ofcoz unapofunga au unapoacha wanga haushauriwi kufanya vigorous exercise, ni mazoezi moderate kama vile kutembea,Hapa ninachokiona mkuu ni balance ya chakula iwe ngazi ya wiki au mwezi mana chakula Cha aina yoyote mwilini kina sabab zake. Huwezi kuacha/punguza kula wanga unaozalisha glucose mwilini huko mazoezin Kuna siku utazimia tu
Jua likiwa linawaka hata rate ya pace na duration si zinapungua mkuuFanya mazoezi ya kukimbia wakati jua linawaka kama saa 9 alasiri hivi. Kama ni mnene kimbia saa 8 mchana
Haijawahi kuwa suluhisho kamwe! Tena jua linazeesha balaa ngozi itaendelea kuwa mbovu na hata pumzi ya mwili itakuwa inakata mapema sana akiwa mazoezini.Fanya mazoezi ya kukimbia wakati jua linawaka kama saa 9 alasiri hivi. Kama ni mnene kimbia saa 8 mchana
Nierekeze.kwako nije na tofar zangu utakua unabeba huku unakimbiq.wiki 1 utakuq nq kiro 40Yaani sijapata kampani Kwa kweli najipush hivyo hivyo mwenyewe ...