Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naamka saa 11, karibu na kwangu kuna kilima, napandisha na kushuka mara 2.... Napiga pushup 20, squatting kama 10 kwa kila aina ya squatting na kuruka kamba 100...Mimi sipendi mazoezi ila nimefikia Ile steji ya no way out. Chakula kama chakula kufanya diet au kula michemsho siwezi wenzangu.
Maana kunywa sinywi, club sipendi, starehe yangu ni masotojo tu. Sasa mwili unapoelekea Kwa kweli sio pazuri.
Hii ni wiki ya tatu mfululizo ila napiga ya nyumbani mbio kuzunguka uwanja.
Sit-up sijui ya kukata tumbo. Binafsi naona mwili umeanza kuwa mwepesi.
Naomba kwa wanaofanya mazoezi tupeane ABC please. Vyakula vya kula. Mazoezi ya kufanya na pia tutiane moyo. Binafsi nataka niwe na mwili kama wa Gabu union au tiwa savage nikifikisha 40 bila surgery maana najiona kabisa siwezi kuoitolerate hiyo surgery.
Najilainisha kwanza kabla sijaanza kwenda gym wasije wakanitoa roho bure ma treinaaaa[emoji23][emoji23]
Kiiisglish najua kidogo sio kama fei toto ..Kwa ndoto ulizo nazo bila kubadili aina yako ya ulaji ni kazi bure mwili mzuri ni chakula health mazoezi ni kidogo sana haya play part kubwa.badili ulaji wako na mazoezi ndo itakusaidia unafanya mazoezi una burn calories kidogo una kula masotojo unaingiza calories kibao waste of time mambo hayo wafanye watu walokolewa na mazoezi haswa miaka washajenga misuli abs six pack hata a kila sotojo anaenda kuzitoa sio mwenzangu na mie utabaki tu mazoezi kwa afya kuwa sijui kama Gaby union tiwa savage sahau.download application za mazoezi zitakusaidia huto hitaji gym maana ni kama trainer tu anakuelekeza anakuhesabia Je unajua english??
Ah wee sii nitasakwa kama hela vile maana nitakavyo sasambua mbususu za hao warembo. Na aise wakiwa na zile tyt zao alafu awe anapiga squats au deadlifts, 🍑 lote unaliona na mtuno wa mbususu (camel toe)Hahahahahaha matreinaaaa wanafaidi sana...
Hujawahi fikiria kufungua gym?
Kula kuku choma daily achana na wali ugali na piga zoezi utakuwa poa tuu.Kiiisglish najua kidogo sio kama fei toto ..
Trust me najitahidi kula kidogo wanga na hizo sojoto...
Yaani hivi wali nazi arage nazi...nilikua nakula nzima moja Sasa hivi nakula nusu yake....
Nitapunguza kiwango najua mpaka nitareplace na protein nyingi na matunda..
Ni ngumu ndugu yangu sio mchezo
Ndio huwa unapendelea Kula?Labda kutia udambwi udambwi..
Hivi unaijua mishikaki ya nundu?
Naomba nisajestie walau aina tatu ya miloYani mazoezi na chakula vinaenda pamoja kwenye kupunguza mwili.
Ukiwa na nidham ya chakula na ukafanya mazoez lazima tu upungue hata km kuna mkono wa mtu.
Punguza vyakula vya sukari, pombe hata sukari kwenye chai, juice n.k kwa kuanzia na uwe na ratiba yako ya chakula na mazoezi bila kukosa.
kupungua sio kula michemsho, unatakiwa upate protein kwa wingi na wanga kidogo sana, ukiwa unakula kawaida afu unafanya mazoezi basi utakuwa baunsa refer shilole unene wake kabla ya kuanza gym na baada ya gym kawa baunsaHapana sili sanaa ila siwezi kufast na kula michemsho nilichoongeza kwenye diet ni natunda mengi na mchicha mwingi na upiga nazi kama yote....so wangapi nimepunguza...napiga nduzi zangu hata mbili au tatu kwa siku au baada ya mazoez au kipindi Cha mlo...alafu mboga kiwango Cha fungu moja napiga nusu...
Siwezi fasting my dear siwezi kula michemsho uwiii
Ooooh trainer kijana WA hovyo duhZingatia unachokula kwa sana.
Anyway, ukihitaji trainer niko hapa
Tutapewa miwili mipya uongo😂Endelea tu maisha yako mkuu utapungua ukifa..
Naaam naaamTutapewa miwili mipya uongo😂
Kuku choma na nduzi au ninKula kuku choma daily achana na wali ugali na piga zoezi utakuwa poa tuu.
Hapana very rare..Ndio huwa unapendelea Kula?
Hivi sukari ukiacha substitute inakua ni nini?Naamka saa 11, karibu na kwangu kuna kilima, napandisha na kushuka mara 2.... Napiga pushup 20, squatting kama 10 kwa kila aina ya squatting na kuruka kamba 100...
Nimeacha soda na sukari na vileo vyote situmii.. ila sina ratiba ya msosi, chchte na kula ila kisiwe na mafuta mengi na sukari ...
Ila sina kilo nyingii, kuna kipind nilianza kuhisi kunenepa..
Aiseee unanitisha ....ule mwili WA shishi ni night mare...kupungua sio kula michemsho, unatakiwa upate protein kwa wingi na wanga kidogo sana, ukiwa unakula kawaida afu unafanya mazoezi basi utakuwa baunsa refer shilole unene wake kabla ya kuanza gym na baada ya gym kawa baunsa
Hahahahah 🤣🤣🤣🤣🤣...mbinguni hakuna hotel.Natembea na kikimbia kiasi kwa 2hrs kila jion lengo nipunguze kg 5 nibaki na 65kg. Mara nikaumwa nikawa natumia dawa nikasitisha for 2weeks cha ajabu juzi nimepima nina hizo hizo 70kg.🤣🤣
Nyie mkiona mtu anafanya mazoezi kapungua mpeni heshima zake sio rahis kama mnavyodhani.
Vyakula ndo mtihani hasa ukiwa kazini unajikuta unajipigia tu msosi mbinguni hakuna hotel.