Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
ishu inakuja kwenye kubalance caloriesChakula ndo password
Chakula unachokula kabla na baada ya mazoezi..uwiano wake upoje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ishu inakuja kwenye kubalance caloriesChakula ndo password
Wengine ndio wale tunasema nitaanza kesho, kesho inakuwa keshokutwa, mtondogooMazoezi ni nidhamu binafsi inabidi ujisimamie!
Hapo kwenye uzazi sijui huwa wanajiachia Sana au kuna nini maana ndio chanzo Cha wengi kunenepeanaHaswa kwenye uzazi, asipokuwa na nidhamu ya vyakula na mitindo ya kula kwa kisingizio cha uzazi huwa wanatanuka sana na unfortunately hawarudi kawaida kamwe
Kuku WA kienyeji hafai kuchoma aiseee naona anakuja ngumu sana...hivi Hawa kuku WA kisasa vipi kuchoma maana ndo wanaochomwa huko ma barYes na ndizi choma plus vegetables au matunda bas.
Hivi Kuna hope kabisa mtu anapunguabhiviusinywe soda, na vitu vye sukari nyingi, punguza vyakula vy wanga na mafuta kunywa maji lita tatu kwa saa24,
Pole sana kwa kuibiwa.Hakuna siku imenipita bila mazoezi. Nina saa 1.30 kila siku.
Hata nikisafiri ile nafasi ile squre Mita 2 kwa 2 inanitosha sana hapo chumbani hotel nilipofikia.
Wengi wana-fail mazoezi kusikia uvivu ksbb wengi wanawaza lazima aende gym au uwanjani. No. Huko huko chumbani kwako kila siku kutakupa morali ya juu sana kufanya kila siku mazoezi. Ni namna tu ujue mazoezi gani ufanye ya kukutosha,na kukutoa jasho la kutosha pia. Home kwangu nimetenga room kabisa la mazoezi.
Nina miaka 40+ nimeanza mazoezi tangu nina miaka 20. Niko fit sana mimi mwenyewe najiona.
Mazoezi ni kila kitu cha Kwanza kwangu baada ya MUNGU. Unafuata msosi.
Lazima kila siku niwe na mlo mmoja waatunda tu. Hasa usiku. Nagonga sinia zima la mchanganyiko wa parachichi+papai+tikit+nanasi. Hiyo kila siku saa 1au 2 baada ya hapo sili kitu kingine. Mwanzo huu msosi ni mgumu. Baadae mwili wenyewe unazoea
Nimeongea sana wakuu. Naomba msaada mwenye ule Uzi wa ufugaji wa mbwa. Wezi wanatuzingua hatari mtaa wetu. Hapa wametoka kuniliza frat screen. Nataka kufuga mbwa kwanza. Nataka ule Uzi una namna ya jinsi ya kuwatunza hao viumbe. Msaada tafadhali
Wanakula sio kidogo Aisee, unakuta mtu ana chupa za chai zenye uji kama mbili ama tatu kwa siku, mtori, supu, mayai na vitu vingi yaani mpaka mtu unakaribia kufilisika !Hapo kwenye uzazi sijui huwa wanajiachia Sana au kuna nini maana ndio chanzo Cha wengi kunenepeana
Pole Kwa kuibiwa..Hakuna siku imenipita bila mazoezi. Nina saa 1.30 kila siku.
Hata nikisafiri ile nafasi ile squre Mita 2 kwa 2 inanitosha sana hapo chumbani hotel nilipofikia.
Wengi wana-fail mazoezi kusikia uvivu ksbb wengi wanawaza lazima aende gym au uwanjani. No. Huko huko chumbani kwako kila siku kutakupa morali ya juu sana kufanya kila siku mazoezi. Ni namna tu ujue mazoezi gani ufanye ya kukutosha,na kukutoa jasho la kutosha pia. Home kwangu nimetenga room kabisa la mazoezi.
Nina miaka 40+ nimeanza mazoezi tangu nina miaka 20. Niko fit sana mimi mwenyewe najiona.
Mazoezi ni kila kitu cha Kwanza kwangu baada ya MUNGU. Unafuata msosi.
Lazima kila siku niwe na mlo mmoja waatunda tu. Hasa usiku. Nagonga sinia zima la mchanganyiko wa parachichi+papai+tikit+nanasi. Hiyo kila siku saa 1au 2 baada ya hapo sili kitu kingine. Mwanzo huu msosi ni mgumu. Baadae mwili wenyewe unazoea
Nimeongea sana wakuu. Naomba msaada mwenye ule Uzi wa ufugaji wa mbwa. Wezi wanatuzingua hatari mtaa wetu. Hapa wametoka kuniliza frat screen. Nataka kufuga mbwa kwanza. Nataka ule Uzi una namna ya jinsi ya kuwatunza hao viumbe. Msaada tafadhali
Ahahaaaa....! Wale German shepherd sijui,ukichelewa kumlisha anakurukia?. Nafuga wa kawaida mkuu. Ila watapitia mafunzoPole sana kwa kuibiwa.
Kuna aina fulani ya mbwa brother usifuge.
Kwa ulaji huo asiponenepa ndio imetoka asahau unene. Mbona wasanii hii haitokei baada ya kujifungua? Au ndio hawali vyakula ulivyotaja hapoWanakula sio kidogo Aisee, unakuta mtu ana chupa za chai zenye uji kama mbili ama tatu kwa siku, mtori, supu, mayai na vitu vingi yaani mpaka mtu unakaribia kufilisika !
Is not easy at all...Kufunga hakuepukiki kwenye swala la kubalance mwili.
Kufunga sio lazima mwezi mmoja wala jioni tu waweza kufanya intermittent fasting, kwa kuskip mlo aidha asubuhi, mchana au jioni.
Pia unaweza kushift from flesh based food to natural organic plants based food matunda na mboga za majani for three days or day by day alternating.
Destructing is easy and enjoyable than building which is hard and painfull.
Advice; find a good trainer who balance both exercise and food or a friend who knows the way to be honest lifestyle changing is not that easy
Ukiffanikiwa nijulisheHakuna siku imenipita bila mazoezi. Nina saa 1.30 kila siku.
Hata nikisafiri ile nafasi ile squre Mita 2 kwa 2 inanitosha sana hapo chumbani hotel nilipofikia.
Wengi wana-fail mazoezi kusikia uvivu ksbb wengi wanawaza lazima aende gym au uwanjani. No. Huko huko chumbani kwako kila siku kutakupa morali ya juu sana kufanya kila siku mazoezi. Ni namna tu ujue mazoezi gani ufanye ya kukutosha,na kukutoa jasho la kutosha pia. Home kwangu nimetenga room kabisa la mazoezi.
Nina miaka 40+ nimeanza mazoezi tangu nina miaka 20. Niko fit sana mimi mwenyewe najiona.
Mazoezi ni kila kitu cha Kwanza kwangu baada ya MUNGU. Unafuata msosi.
Lazima kila siku niwe na mlo mmoja waatunda tu. Hasa usiku. Nagonga sinia zima la mchanganyiko wa parachichi+papai+tikit+nanasi. Hiyo kila siku saa 1au 2 baada ya hapo sili kitu kingine. Mwanzo huu msosi ni mgumu. Baadae mwili wenyewe unazoea
Nimeongea sana wakuu. Naomba msaada mwenye ule Uzi wa ufugaji wa mbwa. Wezi wanatuzingua hatari mtaa wetu. Hapa wametoka kuniliza frat screen. Nataka kufuga mbwa kwanza. Nataka ule Uzi una namna ya jinsi ya kuwatunza hao viumbe. Msaada tafadhali
mm ndo mtalaam mwili unisha kwa diet tu, sema labda kama una metabolic errorHivi Kuna hope kabisa mtu anapunguabhivi
Yaaani achana na hao viumbe wakuitwa wasaniii...WA hapa bongo wamenenepeana hovyo na wengine wanaingia kwenye misugery..Kwa ulaji huo asiponenepa ndio imetoka asahau unene. Mbona wasanii hii haitokei baada ya kujifungua? Au ndio hawali vyakula ulivyotaja hapo
Hao hao !Ahahaaaa....! Wale German shepherd sijui,ukichelewa kumlisha anakurukia?. Nafuga wa kawaida mkuu. Ila watapitia mafunzo
HAhahhaa tell me about metabolic error,nahitaji kitu Cha kushusbua lawama huu mwilimm ndo mtalaam mwili unisha kwa diet tu, sema labda kama una metabolic error