Tunaofanya Mazoezi tukutane hapa

Tunaofanya Mazoezi tukutane hapa

Weka picha tuone huo ubonge ili tuweze kukupa ushauri specific
 
Wasikutishe kwenye kula kiasi cha kula sio tatzo ila unatakiwa ule chakula Kwa mpangilio mzuri, usile vyakula vya mafuta sana, punguza vyakula vya sukari Na chumvi kwa sanaa ila unatakiwa ule ushibe- wachezaji wanafanya mazoezi sana na pia wanakula sanaa

Usiache mazoezi bingwa ni muhimu sanaa
 
Vyakula ambavyo havina mafuta ni kama hizo choroko na maarage labda na samaki na kuku WA kienyeji SI ndio
 
Vyakula ambavyo havina mafuta ni kama hizo choroko na maarage labda na samaki na kuku WA kienyeji SI ndio

Na sio kama usile kabsa ila hautakiwi kula mara kwa mara ila mafuta yana umuhimu wake kwenye mwili so hayatakiwi kukosekana kabsa
 
Hapana very rare..
Nakula samaki,maarage,chiroko,kuku kienyeji....na nyama ya ngome mara chache sanaa.
Samaki na maarage ndo sananyama choma,nundu hizo mpaka nikutane nazo huko barabarani....na kitimoto Cha kuchomwa
Milo mizuri ukizingatia kula kwa wastani na matunda kureplace mlo mmoja (hasa mchana) na mazoezi utazidi kupungua.

Nataka niache kula vyakula vya wanga, niache kutumia mafuta na nipunguze matumizi ya chumvi maana bila kuzingatia vyakula hata nikikomaa na mazoezi hayatokuwa na matokeo mazuri.
 
Na sio kama usile kabsa ila hautakiwi kula mara kwa mara ila mafuta yana umuhimu wake kwenye mwili so hayatakiwi kukosekana kabsa
Niambie basi unakula..nini yaani na gather info Kwa kweli nipo siriaz na jambo hili....
Naaid nitashare picha ya before and after
 
Kiufupi kwa utaalam kula chakula cha size unayofanyia kazi mkuu, kula hata sahani nne kama unaenda kulima ma ekari au kubeba mizito ya magunia, bila kusahau na mazoezi ya kukaza misuli .
 
Back
Top Bottom