Tunaofanya Mazoezi tukutane hapa

Naamka saa 11, karibu na kwangu kuna kilima, napandisha na kushuka mara 2.... Napiga pushup 20, squatting kama 10 kwa kila aina ya squatting na kuruka kamba 100...

Nimeacha soda na sukari na vileo vyote situmii.. ila sina ratiba ya msosi, chchte na kula ila kisiwe na mafuta mengi na sukari ...

Ila sina kilo nyingii, kuna kipind nilianza kuhisi kunenepa..
 
Kiiisglish najua kidogo sio kama fei toto ..

Trust me najitahidi kula kidogo wanga na hizo sojoto...
Yaani hivi wali nazi arage nazi...nilikua nakula nzima moja Sasa hivi nakula nusu yake....
Nitapunguza kiwango najua mpaka nitareplace na protein nyingi na matunda..


Ni ngumu ndugu yangu sio mchezo
 
Kula kuku choma daily achana na wali ugali na piga zoezi utakuwa poa tuu.
 
Naomba nisajestie walau aina tatu ya milo
 
kupungua sio kula michemsho, unatakiwa upate protein kwa wingi na wanga kidogo sana, ukiwa unakula kawaida afu unafanya mazoezi basi utakuwa baunsa refer shilole unene wake kabla ya kuanza gym na baada ya gym kawa baunsa
 
Natembea na kikimbia kiasi kwa 2hrs kila jion lengo nipunguze kg 5 nibaki na 65kg. Mara nikaumwa nikawa natumia dawa nikasitisha for 2weeks cha ajabu juzi nimepima nina hizo hizo 70kg.🤣🤣

Nyie mkiona mtu anafanya mazoezi kapungua mpeni heshima zake sio rahis kama mnavyodhani.

Vyakula ndo mtihani hasa ukiwa kazini unajikuta unajipigia tu msosi mbinguni hakuna hotel.
 
Ndio huwa unapendelea Kula?
Hapana very rare..
Nakula samaki,maarage,chiroko,kuku kienyeji....na nyama ya ngome mara chache sanaa.
Samaki na maarage ndo sananyama choma,nundu hizo mpaka nikutane nazo huko barabarani....na kitimoto Cha kuchomwa
 
Hivi sukari ukiacha substitute inakua ni nini?
 
Unamaanisha kwa sasa unafananaje yaani kama kiboko au?
 
kupungua sio kula michemsho, unatakiwa upate protein kwa wingi na wanga kidogo sana, ukiwa unakula kawaida afu unafanya mazoezi basi utakuwa baunsa refer shilole unene wake kabla ya kuanza gym na baada ya gym kawa baunsa
Aiseee unanitisha ....ule mwili WA shishi ni night mare...
Protein nyingi naamini Haina madhara
 
Hahahahah 🤣🤣🤣🤣🤣...mbinguni hakuna hotel.
Piga mishikaki sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…