Tunaojihisi kuchoka na kitu fulani tufarijiane


Mkuu oa upunguze mawazo
 
Nakuelewa kufanya kazi kunachosha aisee
Ila maisha magumu msiache mtalia maana na biashara nazo ngumu balaa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sawasawa mkuu
 
Nishamjibu mengine nabaki nayo mwenyewe maana niliyoyapitia ni maumivu yangu.Yote kheri vile aonavyo
Ili upone unachopitia, ni lazima uainishe tatizo, short of that huenda unaongezea stress juu ya nyingi ulizonazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…