Tunaojihisi kuchoka na kitu fulani tufarijiane

Ili upone unachopitia, ni lazima uainishe tatizo, short of that huenda unaongezea stress juu ya nyingi ulizonazo.
Kaeleza kama ananifahamu,ngoja nimwache aelezee zaidi mkuu
 
Ticha una shape nzuri

Usikate tamaa bana maisha matamu
 
Bila kusahau pointi ya bwana Cannabis ukiiangalia kijuujuu unaweza ukaipita lakini tazama HIZI FACT;

Mtu akila mmea anaongeza uwezo wa kufurahia zaidi chochote ambacho watu wa kawaida wanakiona cha kawaida. Mfano rangi, sauti ya muziki na just kuishi tu maaan

Tena ana uwezo wa kufurahia hadi vitu..... imagine anafurahia 'muziki' wa saa ya mshale kufanya tick,tock,tick,tock😂😂. Wale wahuni wanacheza intro ya taarifa ya habari na habari yenyewe unawachukuliaje?

Sema tu kujua kitaalamu mtu amepungukiwa bhangi kiasi gani ili aongeze kiasi gani ndo hatufanyi ila ingesaidia I guess. Sishauri hizi za mtaani huenda wakachakachua au ikapitiliza

Nahisi ticha etu to yeye ana UBAMWI[Upungufu wa Bhangi Mwilini] hadi ameacha kufurahia vitu vilivyopaswa kumfurahisha kama kazi na mapenzi labda.

Bila kusahau pointi za The unpaid Seller maana haya mambo haifai kupingana na asili saana.....nikichukulia pia mtoa mada ana 'hobbie' na jeshi dots zinajikonekt ndo maana jamaa kakazia point yake. Nayasema haya ili mwanamke mwingine akisoma apate funzo na elimu pia. ✌
 

Hahahahaha eti wanatembea kama mazombie
 
Pole sana mkuu.
 
Hii ina ukweli kabisa nna aunt yangu she was successful alikuwa ana career nzuri, watoto, nyumba etc vitu ambavyo mtu utasema mafanikio

Lakin alikuwa mpweke kuna siku alipontambulisha kwa uncle baadae akaniambia sasa hivi ana amani, maana kipindi yuko peke ake alikuwa anapata shida hata kazin walikuwa wanamdharau wanamchukulia poa
 
Aisee
 
Ubamwi😳
 
Nachoka Kila siku mkuu

Pole saana,,,nini hasa unahisi unahitaji...??? maan kama umepata madusco na bado unachoka..

Na ukisema umechoka una maanisha HUNA FU/RAHA au una maana nyingine..??
 
Pole saana,,,nini hasa unahisi unahitaji...??? maan kama umepata madusco na bado unachoka..

Na ukisema umechoka una maanisha HUNA FU/RAHA au una maana nyingine..??
Sijawahi ipenda kaz yangu,napenda biashara ila muda unabana....unaowaajiri nao wanajimilikisha🙌
 
Sijawahi ipenda kaz yangu,napenda biashara ila muda unabana....unaowaajiri nao wanajimilikisha
Hili ndio linakusumbua....!!!??. Huipendi kazi yenyewe au kipato unachopata kutokana na hio kazi,,,, unahisi mtaani utapata zaidi..??? au una amini mtaani utakuwa na freedom(Comfort zone)..?
 
Hili ndio linakusumbua....!!!??. Huipendi kazi yenyewe au kipato unachopata kutokana na hio kazi,,,, unahisi mtaani utapata zaidi..??? au una amini mtaani utakuwa na freedom(Comfort zone)..?
Nataka kutafuta pesa Kwa nguvu zangu,nijihimu Kwa biashara yangu siyo unajihimu na kujitesa Kwa mshahara wa manamba na kuendeshwa kwingi 😏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…