Tunaojihisi kuchoka na kitu fulani tufarijiane

Tunaojihisi kuchoka na kitu fulani tufarijiane

Pole madam, kinachokuchosha ni kutokuwa katika mahusiano yenye furaha na baba watoto. Aidha yamekwisha au bado yapo. Jaribu kufikiri ulikosea au ulikosewa wapi katika hayo mahusiano. Kingine Umri unaenda na watoto unao. Pengine kituo chako Cha kazi kipo kijijini na kila mwanaume unayemuona siye yule wa hadhi yako uliyokuwa unaifikiria ukiwa mwanafunzi.

Kitu kikubwa ambacho baadhi yetu watumishi hatutaki kukiona ni kama tatizo, ni ile miaka saba ya kutopandishwa mishahara au madaraja! Iliua matumaini ya kiuchumi ya mtumishi na ndoto za maisha pamoja na motisha ya kufanya kazi. Vitisho na migogoro na mabosi na watumishi wengine pia uongeza stress.

Umechukua mikopo benki wanakukata marejesho,bodi nao wanakata na unabaki na salio dogo la mshahara. Mzunguko wa kibiashara ni mgumu katika eneo lako na kila ukiangalia hakuna kipya!

Uzuri ni kwamba kazi ya ualimu ina mapumziko makubwa kuliko kazi nyingine nyingi. Kipindi cha likizo safiri na badilisha mazingira na mtazamo wako. Walimu wengi utakuta yupo kituoni miaka sita au saba hajaenda likizo! Kisa? Kuogopa nauli hasa akiwa na familia kubwa.
 
Ee Mwenyez Mungu nisaidie,pekeyangu siwez pasipo msaada wako.
SAD Generation,, with a Happy Pictures

We Mwanamke mungu yuko upande wetu siku zote,, acha kujikatia tamaa,,, na usiwe limited kwenye interests zako,,, sometimes it's Ok not to be Ok....Palipo imani kuna mwanga unaomulika wenye kuamini...

Usijilinganishe na mtu yeyote na kwa namna yeyote,,,ishi maisha yako...na furahia kwa hicho ulicho nacho,,,kuna watu hawana kazi wewe unayo,,,,hawana mtoto wewe unao,,wagonjwa ila wewe mzima...so be grateful for that so usinung'unike kukosa viatu wakati wengine hawana hata hio Miguu ya kuvalia viatu (FA)...

Kingine The grass is not greener on the other side,,, ipende kazi yako,,Mtaani sio rahisi kama unavyofikiria...

Mwisho lakini sio kwa umuhimu: Hakikisha unamwaga Oil muda muafaka,,ili Engine iweze kufanya kazi kwa ufasaha,,,Matatizo mengine ya gari kugoma goma sababu inaweza kuwa ni service tu na wala sio hali ya hewa na mazingira.,, Siti ya dereva ikiwa fresh uhakika wa kufika safari huwa ni mkubwa sana....(Legends Only)
 
Kitu kikubwa ambacho baadhi yetu watumishi hatutaki kukiona ni kama tatizo, ni ile miaka saba ya kutopandishwa mishahara au madaraja! Iliua matumaini ya kiuchumi ya mtumishi na ndoto za maisha pamoja na motisha ya kufanya kazi. Vitisho na migogoro na mabosi na watumishi wengine pia uongeza stress.
Asante sana,na ubarikiwe....
 
Hivi mwanamke huwa anavuta?
Bila shida yoyote ile ganja ina manufaa mengi kuliko hasara, tatizo kuna nguvu kubwa sana imetumika kuipotosha jamii kuhusu ganja...
images - 2022-06-06T184955.997.jpeg
 
Usijilinganishe na mtu yeyote na kwa namna yeyote,,,ishi maisha yako...na furahia kwa hicho ulicho nacho,,,kuna watu hawana kazi wewe unayo,,,,hawana mtoto wewe unao,,wagonjwa ila wewe mzima...so be grateful for that so usinung'unike kukosa viatu wakati wengine hawana hata hio Miguu ya kuvalia viatu (FA)...
Asante sana Nas Jr
 
Utakua na stress za madeni mkuu na kutaka kuishi maisha high class wakati ujafikia bado ndo maana, dawa ni kupambana na maisha kulipa madeni hakuna namna mbona wengine tunapambana nayo?
Sawa mkuu,Asante Kwa mchango wako
 
Back
Top Bottom