Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kumbe tupo karibu? Nicheki pm tafadhali japo tufarijiane. AsanteNdiyo,umeanza Leo huku mbeya,mwendelezo wiki lote
Mmetishwa tu na kupotoshwa, ganja haiharibu kitu, ganja ni bora kuliko sigara na pombe lakini jamii imelishwa sumu kuhusu mmea. Vijana wengi wanaondoka kwa frustration ndogo ndogo kwa kutojua ukweli, kuchoshwa na vitu vya kawaida katika maisha sio dalili nzuri, hasa kwa huu ulimwengu wa sasa !Hapana,hapo ndo nitaharibika mazima
Wanakuwa mazezeta🤣Mmetishwa tu na kupotoshwa, ganja haiharibu kitu, ganja ni bora kuliko sigara na pombe lakini jamii imelishwa sumu kuhusu mmea. Vijana wengi wanaondoka kwa frustration ndogo ndogo kwa kutojua ukweli, kuchoshwa na vitu vya kawaida katika maisha sio dalili nzuri, hasa kwa huu ulimwengu wa sasa !
View attachment 2252509
Pole sana to yeyeNajua ni muda wa kaz huu,ila tulikuwa na kaz ya kuhakikiwa Ivo imekwisha mapema sana Leo inategemea na kuwahi kwako(tunahakikiwa Kila Leo🙄).
Sasa ni hivi,Kuna muda unajihisi kuchoka na Kila kitu au kitu Fulani.Kwa mfano Mimi nimechoka na
1.Mapenzi(kuwa kwenye mahusiano)
2.Kuongea na watu kwenye simu kuhusu mapenz (hapa ndo nimechoka kabisaa,yaan sitaki)
3.Kufikiri yaan kichwan kimechoka kuwaza hili na lile at least namna ya kupata hela na kulea watoto napata faraja kuwazia Ivo vitu lakini siyo kumfikiria Fulani sijui,kufikiria sijui nn
4.Nimechoka na kaz yangu(ualimu) kuwahi asubuhi kwenda kuitumikia kaz inayonididimiza kiuchumi,I wish hiyo 11 alfajiri ninapoamka kuoga nioge Kwa biashara yangu nitakayotesekea mpaka usiku lakini inanipatia mafanikio.
5.Nimechoka kuishi pia,mechoka sana kiukweli ni vile nina watoto naogopa nikizima watateseka.
Ee Mwenyez Mungu nisaidie,pekeyangu siwez pasipo msaada wako.🙏
Kama tupo wengi katika hili tufarijiane bas
Nakupenda Joanah .... barikiwa sana.AsantePole sana to yeye
Uzi wako unaonesha uhalisia wa kweli kwa unayopitia
Kuwa na imani,ishi ukijua magumu yaliyopo sasa hayatadumu
Chochote unachopitia jua hayatakuwa hivi milele,utafika wakati mambo yatakunyookea hutaamini...huu uzi utakuwa ni history
Usichoke kuishi,Mwenyezi Mungu akakupe moyo wa uvumilivu
Kama umechoka kuwa single si unatafuta wa kudate nae...mbona rahisiPole sana
Unahitaji msaada. Sio jambo zuri kuchoka kuishi.
Kwa upande wangu nimechoka kuishi Single.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana @Nas Jr
Mtwishe Bwana mzigo wako naye atakusaidia.Najua ni muda wa kaz huu,ila tulikuwa na kaz ya kuhakikiwa Ivo imekwisha mapema sana Leo inategemea na kuwahi kwako(tunahakikiwa Kila Leo🙄).
Sasa ni hivi,Kuna muda unajihisi kuchoka na Kila kitu au kitu Fulani.Kwa mfano Mimi nimechoka na
1.Mapenzi(kuwa kwenye mahusiano)
2.Kuongea na watu kwenye simu kuhusu mapenz (hapa ndo nimechoka kabisaa,yaan sitaki)
3.Kufikiri yaan kichwan kimechoka kuwaza hili na lile at least namna ya kupata hela na kulea watoto napata faraja kuwazia Ivo vitu lakini siyo kumfikiria Fulani sijui,kufikiria sijui nn
4.Nimechoka na kaz yangu(ualimu) kuwahi asubuhi kwenda kuitumikia kaz inayonididimiza kiuchumi,I wish hiyo 11 alfajiri ninapoamka kuoga nioge Kwa biashara yangu nitakayotesekea mpaka usiku lakini inanipatia mafanikio.
5.Nimechoka kuishi pia,mechoka sana kiukweli ni vile nina watoto naogopa nikizima watateseka.
Ee Mwenyez Mungu nisaidie,pekeyangu siwez pasipo msaada wako.🙏
Kama tupo wengi katika hili tufarijiane bas
4.Nimechoka na kaz yangu(ualimu) kuwahi asubuhi kwenda kuitumikia kaz inayonididimiza kiuchumi,I wish hiyo 11 alfajiri ninapoamka kuoga nioge Kwa biashara yangu nitakayotesekea mpaka usiku lakini inanipatia mafanikio.
🤣🤣🤣 Kweli Mimi nawe ni + na +...tungekutana wote tumechoka na ajira then watoto wangekufa na njaaNimechoka na hii ajira balaaa.
Nipo Head Quarters, Basi, Watumishi wa vijijini na Katani na hata wengine wa Head Quarters....
1. Wanaona na faidi
2. Wengine nikiwatembelea na gari la serikali vile naendeshwa na Dereva basi wanaona nafaidi.
3. Kuna watumishi wale nilioajiriwa nao, wakiniona nipo juu yao wao hunipa hongera tuuu
Yaani kifupi watumishi wengi nilipokuwa nao junior level Leo wakiona wanaona nimefanikiwaa ila DIP DOWN MY HEART HII AJIRA IMENICHOSHA SANAAA. YAANI SIIPENDI TENA.
NIMECHOKA HASAAA NA HUU UTUMISHI WA UMMA.
#YNWA
Agemate! Tafadhali we kaz Yako ni nzuri Ina manufaa,hao binadamu wanaokukera achana nao...ni watu tu hao.Tafadhali kaza aiseeTupo wengi kumbe.
HUU UTUMISHI WA UMMA UMENICHOSHA HASAAA.
Na soon naachia ngazi nikafanye yangu town...!!!
#YNWA
Ganja uongo aisee ni kitu kibaya sana .Mmetishwa tu na kupotoshwa, ganja haiharibu kitu, ganja ni bora kuliko sigara na pombe lakini jamii imelishwa sumu kuhusu mmea. Vijana wengi wanaondoka kwa frustration ndogo ndogo kwa kutojua ukweli, kuchoshwa na vitu vya kawaida katika maisha sio dalili nzuri, hasa kwa huu ulimwengu wa sasa !
View attachment 2252509