Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
- Thread starter
- #81
Mbayu wayu naomba utulize naniliuSasa huyu mwalimu unahisi ni pepo au jini linamsumbua!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbayu wayu naomba utulize naniliuSasa huyu mwalimu unahisi ni pepo au jini linamsumbua!
Ngoja niende wanipe ushauri zaidi huenda nikakaa sawaPole sana ,kuna haja ya kumuona mwanasaiokolojia haraka.
Kama watu ambavyo wanapiga promotion za pombe na sigara wangetumoa pia kwa matangazo ya umuhimu wa afya njema ya akili mambo yangependeza sana.
Najua ni muda wa kaz huu,ila tulikuwa na kaz ya kuhakikiwa Ivo imekwisha mapema sana Leo inategemea na kuwahi kwako(tunahakikiwa Kila Leo🙄).
Sasa ni hivi,Kuna muda unajihisi kuchoka na Kila kitu au kitu Fulani.Kwa mfano Mimi nimechoka na
1.Mapenzi(kuwa kwenye mahusiano)
2.Kuongea na watu kwenye simu kuhusu mapenz (hapa ndo nimechoka kabisaa,yaan sitaki)
3.Kufikiri yaan kichwan kimechoka kuwaza hili na lile at least namna ya kupata hela na kulea watoto napata faraja kuwazia Ivo vitu lakini siyo kumfikiria Fulani sijui,kufikiria sijui nn
4.Nimechoka na kaz yangu(ualimu) kuwahi asubuhi kwenda kuitumikia kaz inayonididimiza kiuchumi,I wish hiyo 11 alfajiri ninapoamka kuoga nioge Kwa biashara yangu nitakayotesekea mpaka usiku lakini inanipatia mafanikio.
5.Nimechoka kuishi pia,mechoka sana kiukweli ni vile nina watoto naogopa nikizima watateseka.
Ee Mwenyez Mungu nisaidie,pekeyangu siwez pasipo msaada wako.🙏
Kama tupo wengi katika hili tufarijiane bas
Barikiwa sana,nilishaanza kupona mkuu .Asante sanato yeye tunaweza kukuambia maneno mengi sana na kwa urefu sana lakini mimi naomba ni kumbie neno fupi tu nalo ni nyakati hazidumu.
Baada ya hilo tazamia kesho ilio njema tazamia asubuhi ilio njema, ila jua tu kesho njema huandaliwa na leo, na leo iliandaliwa na jana, kama jana ilikua mbaya basi usitarajie leo nzuri kadhalika kesho nzuri pia . Ila jua tuu wakati haudumu iwe mbaya ya mzuri haudumu, usikatishwe tamaa ya maisha kwa wakati mgumu wa leo ambao haudumu hali wewe unadumu.
Wakati unazaliwa wewe ili kua ni wewe kati ya maelfu kama sio mamilioni lakini wewe ukawa mshindi na ndio hivyo tupo nawe leo hii, hivyo fanya ufanyavyo lakini dili sana na kesho kwa kupitia leo, I wish ninge ki pm lakini itoshe tu kwa hilo.
Pole lakini.
Daah pole sana dada ila haupo pekee yako me muda natoka kwenye shughuli ya boss inayoniingizia kipato uwa nakuwa depressed sana bila sababu unakuta nahisi njaa ila sitaman kula chochote nachukia maisha kiujumla ila nashukuru Mungu nimeanza maombi ambayo yananisaidia kidogo kuniondolea hii hali plus music napendelea zaidi kuzirudia nyimbo hzi mbili,Najua ni muda wa kaz huu,ila tulikuwa na kaz ya kuhakikiwa Ivo imekwisha mapema sana Leo inategemea na kuwahi kwako(tunahakikiwa Kila Leo🙄).
Sasa ni hivi,Kuna muda unajihisi kuchoka na Kila kitu au kitu Fulani.Kwa mfano Mimi nimechoka na
1.Mapenzi(kuwa kwenye mahusiano)
2.Kuongea na watu kwenye simu kuhusu mapenz (hapa ndo nimechoka kabisaa,yaan sitaki)
3.Kufikiri yaan kichwan kimechoka kuwaza hili na lile at least namna ya kupata hela na kulea watoto napata faraja kuwazia Ivo vitu lakini siyo kumfikiria Fulani sijui,kufikiria sijui nn
4.Nimechoka na kaz yangu(ualimu) kuwahi asubuhi kwenda kuitumikia kaz inayonididimiza kiuchumi,I wish hiyo 11 alfajiri ninapoamka kuoga nioge Kwa biashara yangu nitakayotesekea mpaka usiku lakini inanipatia mafanikio.
5.Nimechoka kuishi pia,mechoka sana kiukweli ni vile nina watoto naogopa nikizima watateseka.
Ee Mwenyez Mungu nisaidie,pekeyangu siwez pasipo msaada wako.🙏
Kama tupo wengi katika hili tufarijiane bas
Kati ya nyimbo nazipenda sana hii ni moja wapo uwa natamani kila jmosi kabla sijatoka church niusikie nyingine ni,158-U Mwendo Gani Nyumbani?
How Far From Home (SDAH439)
Doh ni E♭
U mwendo gani nyumbani? Mlinzi akanijibu,
"Usiku sasa waisha, macheo karibu."
Usihuzunike tena, bali ulemee mwendo
Hata ushike ufalme kule mwangani juu.
Na tena niliuliza, nchi yote ikajibu:
"Sasa mwendo watimika, milele karibu."
Usihuzunike tena, ishara kuu zasonga
Na viumbe vyangojea sauti ya Bwana.
Nikamwuliza shujaa, ndivyo kanitia moyo:
"Shikilia mapigano, kitambo yaisha."
Usihuzunike tena, kazi ifanywe kwa moyo;
Tumeahidiwa tunu tuishapo shinda.
Siyo mbali na nyumbani! fikara tamu njiani,
Latupoza roho, nalo lafuta machozi.
Usihuzunike tena, kitambo tutakutana
Wenye furaha kamili nyumbani mwa Baba.
Wimbo huo, ukawe faraja kwako.