Sam mirror
JF-Expert Member
- Sep 29, 2018
- 1,461
- 2,238
Acha kazi uone sina la kukwambia utaona rangi zote ambazo ujawahi ona.
Karibu kitaa
Una uhakika wa kibunda unalalama.
Karibu kitaa
Una uhakika wa kibunda unalalama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana kamanda...yaan mawazo hayapingikiDaah pole sana dada ila haupo pekee yako me muda natoka kwenye shughuli ya boss inayoniingizia kipato uwa nakuwa depressed sana bila sababu unakuta nahisi njaa ila sitaman kula chochote nachukia maisha kiujumla ila nashukuru Mungu nimeanza maombi ambayo yananisaidia kidogo kuniondolea hii hali plus music napendelea zaidi kuzirudia nyimbo hzi mbili,
Darasa ft Ben Paul-SIKATI TAMAA
Madee ft TundaMan-PESA
Tuliza kichwa dada maisha ni haya haya, unayopitia wewe na wengine nao wanapitia kwa namna tofauti.Yes mkuu
Nimekuelewa mkuu,Asante sanaTuliza kichwa dada maisha ni haya haya, unayopitia wewe na wengine nao wanapitia kwa namna tofauti.
Usione watu wana maisha flani au wana magari, majumba na biashara lkn pia wana mambo magumu sana wanayapitia lkn wanavumilia
Maisha ni zawadi usiwaze kuyapoteza kizembe, mapenzi na pesa hayo yapo tu hata uzeeni utayakutaNimekuelewa mkuu,Asante sana
Kwahiyo niombe likizo bila malipo?Kwani mlioko makazini na mnasema mmechoka huko makazini kwanini msibuni mradi walau hata baada ya miaka 3 muondokane na hizo ajira??
Hiyo yote inatokana na ile ratiba ya kimazoea kuamka mda ule ule kila siku, kurudi muda ule ule, kufanya kitu kile kile kila siku kwa mwaka mzima.
Ndio maana wanafunzi wanachoka na wanatamani shule zifungwe na wakimaliza hufurahi coz ratiba zinabadilika wakimaliza, tofauti na walimu wao ambao kila siku huenda mpaka kifo ni ratiba ile ile!!.
Mi nadhani mkuu nyie mlio kwenye ajira rasmi basi jitahidini kua na mradi nje ya ajira unaokubadilishia ratiba, hizo ratiba za kianafunzi ndo zinachosha sana.
Ajira iwe sehemu ya kujipatia pesa kidogo lakini mradi ukuingizie kikubwa, hii ya kuamka kila siku ukiwaza wanafunzi aisee ni changamoto sana.
AmenAsante sana na ubarikiwe sana...
Likizo gani mkuu??Kwahiyo niombe likizo bila malipo?
Ndicho nilichomaanisha mkuu, komaa tu ipo siku utaachana hiyo ajira unayoona inakutesa na kufanya kile moyo wako unakipenda.Kuna mtu nimemweka anafanya maana muda unakaba
Kikubwa uzimaWewe hujachoka mwanangu?