cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Sijakutwa na chochote hata, Ila tyuuh inatokea hivi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yapi mazito yaliyokusibu kiasi unatamani hivi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijakutwa na chochote hata, Ila tyuuh inatokea hivi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yapi mazito yaliyokusibu kiasi unatamani hivi?
Tanteeeeeh.Pole sana cute
Pole.Sijakutwa na chochote hata, Ila tyuuh inatokea hivi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sina maana ya kukupinga ila wengi wenye hali hii hata hela ya kulipia huduma utakayokua unatoa kwenye ivyo vituo bado itakua ni shida.Ni wakati sasa wanasaikolojia wafungue vituo/centers kwa ajili ya ushauri wa kitabibu hasa katika afya ya akili. Wengi tunakuwa na vipindi vya namna hii, you think the weight of the whole world is on your shoulders.
Hauko peke yako, ni wengi tunapitia hali hii. Just yesterday kazini kuna jamaa alianzisha hii mada, akajumlisha na inflation iliyopo, unaona kabisa depression is kicking his ass..
Nalo tatizo mkuu. Sema wataalam waweke affordable consultation fee coz hapo kuna wanapitia magumu japo uchumi uko poa, na wanaopitia magumu kwa sababu ya kubanwa na uchumi mbovu.sina maana ya kukupinga ila wengi wenye hali hii hata hela ya kulipia huduma utakayokua unatoa kwenye ivyo vituo bado itakua ni shida.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole.
Mbna huwa unakuwa na furah muda woteYaan najihisi kufa kufa tyuuh, nshachoka kuishi haswaa.
Asante sana loveNilipitia changamoto unayopitia, Ila nikwambie tu kila kitu kinaanza within you, Una uwezo wa kuattract unachokitaka.....ushauri wangu anza kujibadilisha wewe, jipende, penda ngozi yako, itunze, tunza nywele zako, vaa upendeze, always put a smile...hata Kama huna sababu ya kusmile! Pia kabla hujaenda kazini hakikisha umetandika kitanda chako, tena kitandike vizuri Kama cha hotel.
Anza na hayo uone mabadiliko
Ni shida sana yaanAu tatizo ni mikopo
Ila ambao tumechoka kuishi ni wengi ila usiendekeze uvivu wa kuchoka kuishi.
Pole sana na mahusiano,hili wanawake wengi sana linawakuta
Kuna dada angu mmoja aliwah kuhangaika na mahusiano mpaka nikawa namshauri atafute mwanaume ambae hana kitu amuoe ili apate amani ya moyo maana huyu dada angu alikuwa anatumia nguvu nyingi sana ili apate wanaume wazuri wenye vipato kuwa nao ila ndo wakawa hawatulii hadi pesa na mikopo alikuwa anawakopea lakin wapi ila tunamshukuru mungu sahv kapata mwanaume mwenye taaluma kama yako wanaendesha maisha ingawaje kajamaa kamemwachia karibia kila kitu mpaka watoto wa kenyewe dada anatoa ada
HakikaKuchoka ni hali za kibinadamu
Hata Mungu alietuumba nadhani anafahamu.
Ndo mana kuna mahala wameandika "Roho i radhi ila mwili ni dhaifu sana"
Kuchoka sio kosa, songa mbele tafuta maana ya maisha. Ndio maana wazungu wana Vacation tena hasa za mbugani ili kurenew ubongo maana mambo yale yale kila siku kwakweli yanachosha
[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa huyu mwalimu unahisi ni pepo au jini linamsumbua!
Qmamae feminist limechoka, si mnapigamia 50/50 sasa umechoka nini kafanye kazi hukoNajua ni muda wa kaz huu,ila tulikuwa na kaz ya kuhakikiwa Ivo imekwisha mapema sana Leo inategemea na kuwahi kwako(tunahakikiwa Kila Leo🙄).
Sasa ni hivi,Kuna muda unajihisi kuchoka na Kila kitu au kitu Fulani.Kwa mfano Mimi nimechoka na
1.Mapenzi(kuwa kwenye mahusiano)
2.Kuongea na watu kwenye simu kuhusu mapenz (hapa ndo nimechoka kabisaa,yaan sitaki)
3.Kufikiri yaan kichwan kimechoka kuwaza hili na lile at least namna ya kupata hela na kulea watoto napata faraja kuwazia Ivo vitu lakini siyo kumfikiria Fulani sijui,kufikiria sijui nn
4.Nimechoka na kaz yangu(ualimu) kuwahi asubuhi kwenda kuitumikia kaz inayonididimiza kiuchumi,I wish hiyo 11 alfajiri ninapoamka kuoga nioge Kwa biashara yangu nitakayotesekea mpaka usiku lakini inanipatia mafanikio.
5.Nimechoka kuishi pia,mechoka sana kiukweli ni vile nina watoto naogopa nikizima watateseka.
Ee Mwenyez Mungu nisaidie,pekeyangu siwez pasipo msaada wako.🙏
Kama tupo wengi katika hili tufarijiane bas
Kwenu mafeministNdoa ni changamoto sana sikuhizi