Tunaojihisi kuchoka na kitu fulani tufarijiane

Tunaojihisi kuchoka na kitu fulani tufarijiane

Najua ni muda wa kaz huu,ila tulikuwa na kaz ya kuhakikiwa Ivo imekwisha mapema sana Leo inategemea na kuwahi kwako(tunahakikiwa Kila Leo🙄).

Sasa ni hivi,Kuna muda unajihisi kuchoka na Kila kitu au kitu Fulani.Kwa mfano Mimi nimechoka na

1.Mapenzi(kuwa kwenye mahusiano)
2.Kuongea na watu kwenye simu kuhusu mapenz (hapa ndo nimechoka kabisaa,yaan sitaki)

3.Kufikiri yaan kichwan kimechoka kuwaza hili na lile at least namna ya kupata hela na kulea watoto napata faraja kuwazia Ivo vitu lakini siyo kumfikiria Fulani sijui,kufikiria sijui nn

4.Nimechoka na kaz yangu(ualimu) kuwahi asubuhi kwenda kuitumikia kaz inayonididimiza kiuchumi,I wish hiyo 11 alfajiri ninapoamka kuoga nioge Kwa biashara yangu nitakayotesekea mpaka usiku lakini inanipatia mafanikio.

5.Nimechoka kuishi pia,mechoka sana kiukweli ni vile nina watoto naogopa nikizima watateseka.

Ee Mwenyez Mungu nisaidie,pekeyangu siwez pasipo msaada wako.🙏

Kama tupo wengi katika hili tufarijiane bas
Mkiambiwa mwanamke aliumbwa kulea watoto ndio wito wake mko eeeh oooh haki sawa bla bla blah haya sasa yako wapi ?! Nishasema kazi, cheo haviwezi kumpa mwanamke furaha hamsikii kutwa kuzungusha mbunye kwenye ma
 
Uko sahihi,lakini Kuna wanaume hawalei watoto tunalea wenyewe,je si haki yetu kufanya kaz?
 
Asante sana love
Pia Kama mazingira unaona hayakufarahishi tafuta uhamisho, Hama....kuna groups za kubadilishana vituo huko FB...weka ombi lako.
Usikate tamaa, Mimi nimefanikiwa nimehama.....though ulikuwa mchakato mgumu, Ila mwishowe nilifanikiwa.
Sikudanganyi I was depressed, Yani naelewa unachopitia....Ila nilianza na hizo mbinu...kujipenda, kujitahidi kupenda Yale mazingira though yalikuwa yamenichosha.
 
Naona nalo hili la kuhama yaweza kuwa dawa
 
Kwa comments hizi hichi ndio kile ambacho wazungu wanaita Burn out. Kazi inakukinai na huitaki tena. Pamoja na hilo kuna shida kubwa ya Msongo wa mawazo.

Ewe ndugu yangu Siku yoyote utakayojihisi kuwa hauna thamani ya Kuishi na Ungetamani Kufa Jua kabisa kwamba Umefikia katika hatua Mbaya ya Afya ya Akili. Katika hali kama hiyo endapo ikatokea changamoto nyingine ya kukuongezea Msongo wa mawazo zaidi na Zaidi basi kuna uwezekano wa kukata tamaa na kujitoa Uhai, hili sio jambo la Mzaha ndugu zangu. Nakuhakikishia unaweza kujiuwa .

Nawashauri Wote kulichukulia katika uzito na kutafuta ushauri wa kisaikolojia.

Kwakuanzia ningewashauri kwa haraka Sana anzeni Kufanya Mazoezi ya Mwili kwani yanasaidia sana ktk kukuimarisha kiakili pamoja na mambo mengine Wakati huo ukiangalia namna ya Kuonana na wataalam wa Akili.

Tafuteni Namna ya kujiburudisha na kujifurahisha hata kama vipato ni vidogo, watanzani wengi hatuna utaratibu wa kujipenda na kuburudika tukiamini Kwamba ni Anasa na ni vitu visivyokuwa na Umuhimu.

A life Must Have a Purpose. Itafute purpose katika Maisha yako, Jipende, Jitengeneze na Uboreshe Maisha yako Kwa akili na Mikono Yako mwenyewe pasi na Kutegemea Serikali wala Mtu mwingine Yeyote. Your the Captain of your Own Destiny and the mastery of your Life.

We have the Most beautiful Country, We have the nicesty people. Zungumza na watu , Make connections , Drinks some beer If you want (Avoid too much ), Play a games, Do an evening Walk, Make Friends, Learn a New Skills. Try Swiming. Watch a game. Above all be active Phyisically ruka hata kamba, kimbia ,cheza mziki for 30min sio lazima Gym!!!!. Don't forget the spiritual party of your life...

Tujifunze kukubali changamoto kwani ni sehemu ya Maisha ya Mwanadamu Tangu enzi na enzi, tuishi nazo na kuzikabili kimkakati tukiwa na tabasamu na Tumaini la Kesho iliyo bora zaidi ya Leo. Tukiamini hivyo na kuchukua hatua Kesho ya Kila mmoja ni bora kuliko leo.

Unapokuwa na Afya Njema na Uzima ni Silaha bora kabisa ya kujivunia, laiti ungelijua matatizo ya wanokuzunguka pengine ungejicheka mwenyewe.

Nyakati Ngumu huja na kupita lakini Watu Imara hudumu na kuwa ushuda kwa vizazi vijavyo. Ni jukumu lako kuchagua kuwa dhaifu au Imara. Hata Charls Darwin aliwahi kusema it's only the strong character that will survive and pass their genetic make up to the Next Generations.

Don't be Weak Guys , Udhaifu ni laana hata katika Maandiko Matakatifu Ufalme wa Mbinguni Utarithiwa na Wenye Nguvu Wewe mtu dhaifu utakae jinyonga hapa Duniani usitegemee chochote Mbinguni ,sisi wenye nguvu tutapachimba hapa Duniani na Mbinguni utatukuta Siti za Mbele kabisa Pale karibu na Bwana Wetu Yesu Kristo Tukisifu na kuabudu kwakifupi shangwe linahamia huko na kuanza Upyaaa .!!!

You have to stand the test of Time.
Wishing you all the best in reshaping and Modelling your Lives. Cheers!!!
 
Najua ni muda wa kaz huu,ila tulikuwa na kaz ya kuhakikiwa Ivo imekwisha mapema sana Leo inategemea na kuwahi kwako(tunahakikiwa Kila Leo[emoji849]).

Sasa ni hivi,Kuna muda unajihisi kuchoka na Kila kitu au kitu Fulani.Kwa mfano Mimi nimechoka na

1.Mapenzi(kuwa kwenye mahusiano)
2.Kuongea na watu kwenye simu kuhusu mapenz (hapa ndo nimechoka kabisaa,yaan sitaki)

3.Kufikiri yaan kichwan kimechoka kuwaza hili na lile at least namna ya kupata hela na kulea watoto napata faraja kuwazia Ivo vitu lakini siyo kumfikiria Fulani sijui,kufikiria sijui nn

4.Nimechoka na kaz yangu(ualimu) kuwahi asubuhi kwenda kuitumikia kaz inayonididimiza kiuchumi,I wish hiyo 11 alfajiri ninapoamka kuoga nioge Kwa biashara yangu nitakayotesekea mpaka usiku lakini inanipatia mafanikio.

5.Nimechoka kuishi pia,mechoka sana kiukweli ni vile nina watoto naogopa nikizima watateseka.

Ee Mwenyez Mungu nisaidie,pekeyangu siwez pasipo msaada wako.[emoji120]

Kama tupo wengi katika hili tufarijiane bas
Hapo kwenye mahusiano, mimi nimechoka kuwa single [emoji27]

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom