Tunaojihisi kuchoka na kitu fulani tufarijiane

Tunaojihisi kuchoka na kitu fulani tufarijiane

Kwa comments hizi hichi ndio kile ambacho wazungu wanaita Burn out. Kazi inakukinai na huitaki tena. Pamoja na hilo kuna shida kubwa ya Msongo wa mawazo.

Ewe ndugu yangu Siku yoyote utakayojihisi kuwa hauna thamani ya Kuishi na Ungetamani Kufa Jua kabisa kwamba Umefikia katika hatua Mbaya ya Afya ya Akili. Katika hali kama hiyo endapo ikatokea changamoto nyingine ya kukuongezea Msongo wa mawazo zaidi na Zaidi basi kuna uwezekano wa kukata tamaa na kujitoa Uhai, hili sio jambo la Mzaha ndugu zangu. Nakuhakikishia unaweza kujiuwa .

Nawashauri Wote kulichukulia katika uzito na kutafuta ushauri wa kisaikolojia.

Kwakuanzia ningewashauri kwa haraka Sana anzeni Kufanya Mazoezi ya Mwili kwani yanasaidia sana ktk kukuimarisha kiakili pamoja na mambo mengine Wakati huo ukiangalia namna ya Kuonana na wataalam wa Akili.

Tafuteni Namna ya kujiburudisha na kujifurahisha hata kama vipato ni vidogo, watanzani wengi hatuna utaratibu wa kujipenda na kuburudika tukiamini Kwamba ni Anasa na ni vitu visivyokuwa na Umuhimu.

A life Must Have a Purpose. Itafute purpose katika Maisha yako, Jipende, Jitengeneze na Uboreshe Maisha yako Kwa akili na Mikono Yako mwenyewe pasi na Kutegemea Serikali wala Mtu mwingine Yeyote. Your the Captain of your Own Destiny and the mastery of your Life.

We have the Most beautiful Country, We have the nicesty people. Zungumza na watu , Make connections , Drinks some beer If you want (Avoid too much ), Play a games, Do an evening Walk, Make Friends, Learn a New Skills. Try Swiming. Watch a game. Above all be active Phyisically ruka hata kamba, kimbia ,cheza mziki for 30min sio lazima Gym!!!!. Don't forget the spiritual party of your life...

Tujifunze kukubali changamoto kwani ni sehemu ya Maisha ya Mwanadamu Tangu enzi na enzi, tuishi nazo na kuzikabili kimkakati tukiwa na tabasamu na Tumaini la Kesho iliyo bora zaidi ya Leo. Tukiamini hivyo na kuchukua hatua Kesho ya Kila mmoja ni bora kuliko leo.

Unapokuwa na Afya Njema na Uzima ni Silaha bora kabisa ya kujivunia, laiti ungelijua matatizo ya wanokuzunguka pengine ungejicheka mwenyewe.

Nyakati Ngumu huja na kupita lakini Watu Imara hudumu na kuwa ushuda kwa vizazi vijavyo. Ni jukumu lako kuchagua kuwa dhaifu au Imara. Hata Charls Darwin aliwahi kusema it's only the strong character that will survive and pass their genetic make up to the Next Generations.

Don't be Weak Guys , Udhaifu ni laana hata katika Maandiko Matakatifu Ufalme wa Mbinguni Utarithiwa na Wenye Nguvu Wewe mtu dhaifu utakae jinyonga hapa Duniani usitegemee chochote Mbinguni ,sisi wenye nguvu tutapachimba hapa Duniani na Mbinguni utatukuta Siti za Mbele kabisa Pale karibu na Bwana Wetu Yesu Kristo Tukisifu na kuabudu kwakifupi shangwe linahamia huko na kuanza Upyaaa .!!!

You have to stand the test of Time.
Wishing you all the best in reshaping and Modelling your Lives. Cheers!!!
Daaah!❤️🙏🙏
 
Hahaha hawa watakuwa wamechoka kwa sababu hawapati mgegedo kila leo. De libolo ukiwa unalipata kila leo mbona hutataka kufa ukikumbuka ile raha ya kukojozwa
Nifanyaje sasa,mfano saivi usingiz umenipaa
 
Nifanyaje sasa,mfano saivi usingiz umenipaa
Premiun answer.

Acha ufeminist, udume jike kujifanya ngangari amua kua mwanamke waza kama mwanamke kubali majukumu ya mwanamke achana na ujinga wenu wa 50/50 hakika hapo hata mwanaume wako atavutiwa na wewe. (You will be femine and attractive) na pia utaenjoy mahusiano na tendo litakua tamu kwako na kwa mwenza wako na hakika "hautachoka maisha" unachoka kwasababu unaishi kinyume na asili yako.

Mwanamke hauakuumbwa kua lijuaji juaji, libishi ngangari hizi hupunguza utamu wa mwanamke na binafsi sitaki hata kua karibu na mafeminist na siwezi hata kudindisha kwa limwanamke lijuaji hata livue nguo mbele yangu.

To make it short be a submissive woman. Upate mume imagine mwanamke mpaka usiku huu uko mamitandaoni unatafuta company kwasababu wanaume in real life kwa ground wamekususa, kwanini usichoke sasa, na kuchukia maisha

Mwanamke yapasa kua mnyenyekevu, mtulivu, mwenye adabu, mcha Mungu na mkarimu. Hakika mwanamke mwenye sifa tajwa ataishi kwa kupendwa, kulindwa na kuhudumiwa kwa upendo mkubwa na mwanaume wake.
images (12).jpeg
 
Wanaume kibao love conect wanatafuta wenza unakuwaje single
Na hata hao "wanaume wengi" HAKUNA HATA MMOJA anaeweza kuvumilia mwanamke mjuaji kama to yeye cariha Rebeca 83 Miss Natafuta etc viumbe wa phylum hii haichukui dakika kumkinai mwanaume (najua unalifahamu hilo mkuu)

Ujuaji mwingi, ufeminism umewajaingia mpaka kwenye mifupa, viburi na jeuri mbaya hata akienda love connect atapata wanaume wanaotamani kumtomb.a na kusepa hakuna mwanaume wa kuinvest upendo kwa mafeminist hell no.

Au labda huko love connect akutane na mwanaume asiyemjua ila hata ikiwa hivyo hawatadumu maana mwanamke jeuri na mjuaji hawezi kujicontrol ataonyesha makucha hata week haitapita na mwanaume "timamu" atapiga chini.
Screenshot_20220408-142809_Quora.jpg
 
Na hata hao "wanaume wengi" HAKUNA HATA MMOJA anaeweza kuvumilia mwanamke mjuaji kama to yeye cariha Rebeca 83 etc wanawake wa phylum hii haichukui dakika kumkinai mwanaume (najua unalifahamu hilo mkuu)

Ujuaji mwingi, hata akienda love connect atapata wanaume wanaotamani kumtomb.a na kusepa hakuna mwanaume wa kuinvest upendo kwa mafeminist hell no.

Au labda huko love connect akutane na mwanaume asiyemjua ila hata ikiwa hivyo hawatadumu maana mwanamke jeuri na mjuaji hawezi kujicontrol ataonyesha makuchu hata week haitapita na mwanaume "timamu" atapiga chini.View attachment 2258907

weee embu niache, ebo!
 
Na hata hao "wanaume wengi" HAKUNA HATA MMOJA anaeweza kuvumilia mwanamke mjuaji kama to yeye cariha Rebeca 83 Miss Natafuta etc viumbe wa phylum hii haichukui dakika kumkinai mwanaume (najua unalifahamu hilo mkuu)

Ujuaji mwingi, ufeminism umewajaingia mpaka kwenye mifupa, viburi na jeuri mbaya hata akienda love connect atapata wanaume wanaotamani kumtomb.a na kusepa hakuna mwanaume wa kuinvest upendo kwa mafeminist hell no.

Au labda huko love connect akutane na mwanaume asiyemjua ila hata ikiwa hivyo hawatadumu maana mwanamke jeuri na mjuaji hawezi kujicontrol ataonyesha makucha hata week haitapita na mwanaume "timamu" atapiga chini.View attachment 2258907
Kuna nn Kwan mbona sikuelewi? 😳Yaan nakuonyesha kwamba sikuelewi tangu post Yako ya mwanzo lakin umeng'ang'ana nami.Soma vizuri mkuu,sijaandika kuwa natafuta mume,tafadhali usizidi nivuruga tafadhali,tafadhali
 
Premiun answer.

Acha ufeminist, udume jike kujifanya ngangari amua kua mwanamke waza kama mwanamke kubali majukumu ya mwanamke achana na ujinga wenu wa 50/50 hakika hapo hata mwanaume wako atavutiwa na wewe. (You will be femine and attractive) na pia utaenjoy mahusiano na tendo litakua tamu kwako na kwa mwenza wako na hakika "hautachoka maisha" unachoka kwasababu unaishi kinyume na asili yako.

Mwanamke hauakuumbwa kua lijuaji juaji, libishi ngangari hizi hupunguza utamu wa mwanamke na binafsi sitaki hata kua karibu na mafeminist na siwezi hata kudindisha kwa limwanamke lijuaji hata livue nguo mbele yangu.

To make it short be a submissive woman. Upate mume imagine mwanamke mpaka usiku huu uko mamitandaoni unatafuta company kwasababu wanaume in real life kwa ground wamekususa, kwanini usichoke sasa, na kuchukia maisha

Mwanamke yapasa kua mnyenyekevu, mtulivu, mwenye adabu, mcha Mungu na mkarimu. Hakika mwanamke mwenye sifa tajwa ataishi kwa kupendwa, kulindwa na kuhudumiwa kwa upendo mkubwa na mwanaume wake.
View attachment 2258908
😳🙏
 
Nomwchoka zaidi baada ya kuishi duniani nikijua mama yangu ndo basi tena sitamuona.
Nimeamua kuishi bila kujali chochote zaidi ya ahueni ya Leo tu
 
Back
Top Bottom