Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I'm damn seriousU can't be serious 😆
PoleNomwchoka zaidi baada ya kuishi duniani nikijua mama yangu ndo basi tena sitamuona.
Nimeamua kuishi bila kujali chochote zaidi ya ahueni ya Leo tu
❤️❤️❤️❤️❤️❤️Bado sijachoka mpaka nime retire from employment ila sijachoka.
Sina mume, ninapambana kivyangu,
watoto wamekua.
Sijachoka kabisa, sijachoka kujenga, sijachoka kuwahi kuamka saa 11 alfajiri, sijachoka kusafisha mazingira, sijachoka kuwapenda jirani zangu.
Sijachoka kutenda mema japo wengine wananiumiza.
Sijachoka kusoma Biblia japo hii nasoma awamu ya tano ila sijachoka.
Sijachoka kumpenda padre japo ananizingua more times.
Nakuomba mleta uzi usichoke, jitie nguvu mwenyewe, ongeza sala na dua, usichoke.
Ni kutokana na kuvamia nafasi yoyote ilimradi fursa zijazwe ili kufikia 50/50 haki sawa bila kuangalia passion, calling, skills, ability wala talents. Kuna mwingine huko kaukwaa urais ni full vioja hana maono, hana dira hana plan yoyote bora liende ni full kuropoka utasikia "kuleni urefu wa kamba"Ila na wewe kwanini ufanye kazi usiyoipenda?? me hayo mambo ndo huwa siyawezi asee
Thats great madam,Bado sijachoka mpaka nime retire from employment ila sijachoka.
Sina mume, ninapambana kivyangu,
watoto wamekua.
Sijachoka kabisa, sijachoka kujenga, sijachoka kuwahi kuamka saa 11 alfajiri, sijachoka kusafisha mazingira, sijachoka kuwapenda jirani zangu.
Sijachoka kutenda mema japo wengine wananiumiza.
Sijachoka kusoma Biblia japo hii nasoma awamu ya tano ila sijachoka.
Sijachoka kumpenda padre japo ananizingua more times.
Nakuomba mleta uzi usichoke, jitie nguvu mwenyewe, ongeza sala na dua, usichoke.
Pole sana Dada yangu mwenye Enzi Mungu akutie nguvu.Najua ni muda wa kaz huu,ila tulikuwa na kaz ya kuhakikiwa Ivo imekwisha mapema sana Leo inategemea na kuwahi kwako(tunahakikiwa Kila Leo🙄).
Sasa ni hivi,Kuna muda unajihisi kuchoka na Kila kitu au kitu Fulani.Kwa mfano Mimi nimechoka na
1.Mapenzi(kuwa kwenye mahusiano)
2.Kuongea na watu kwenye simu kuhusu mapenz (hapa ndo nimechoka kabisaa,yaan sitaki)
3.Kufikiri yaan kichwan kimechoka kuwaza hili na lile at least namna ya kupata hela na kulea watoto napata faraja kuwazia Ivo vitu lakini siyo kumfikiria Fulani sijui,kufikiria sijui nn
4.Nimechoka na kaz yangu(ualimu) kuwahi asubuhi kwenda kuitumikia kaz inayonididimiza kiuchumi,I wish hiyo 11 alfajiri ninapoamka kuoga nioge Kwa biashara yangu nitakayotesekea mpaka usiku lakini inanipatia mafanikio.
5.Nimechoka kuishi pia,mechoka sana kiukweli ni vile nina watoto naogopa nikizima watateseka.
Ee Mwenyez Mungu nisaidie,pekeyangu siwez pasipo msaada wako.🙏
Kama tupo wengi katika hili tufarijiane bas

aiseeeThats great madam,
Bila shaka haujachoka kua feminist pia haujachoka kua single mother japo unasoma Biblia ila bado haujajifunza kusudi la Mungu ni watoto walelewe na baba na mama.
Unaona umwamba kulea mwenyewe ila unalea vijana walemavu wa maadili, 89% ya wahalifu na wafungwa walilelewa na single mothers.
Mungu na akubariki na kukupa nguvu zaidi na zaidi kwa ajili ya ushuhuda kwa wengine.Bado sijachoka mpaka nime retire from employment ila sijachoka.
Sina mume, ninapambana kivyangu,
watoto wamekua.
Sijachoka kabisa, sijachoka kujenga, sijachoka kuwahi kuamka saa 11 alfajiri, sijachoka kusafisha mazingira, sijachoka kuwapenda jirani zangu.
Sijachoka kutenda mema japo wengine wananiumiza.
Sijachoka kusoma Biblia japo hii nasoma awamu ya tano ila sijachoka.
Sijachoka kumpenda padre japo ananizingua more times.
Nakuomba mleta uzi usichoke, jitie nguvu mwenyewe, ongeza sala na dua, usichoke.
AsantePole
Lol labda tumuulize mtoa mada kwamba yeyw ilikuwaje hadi akaamua kuwa mwalimuNi kutokana na kuvamia nafasi yoyote ilimradi fursa zijazwe ili kufikia 50/50 haki sawa bila kuangalia passion, calling, skills, ability wala talents. Kuna mwingine huko kaukwaa urais ni full vioja hana maono, hana dira hana plan yoyote bora liende ni full kuropoka utasikia "kuleni urefu wa kamba"