Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu akutie nguvu mpenz.... Unahitaji kuendelea kuishi kwa sababu ya watoto na wao ndio wapenzi wako wa kweli........ Unatakiwa uendelee kufanya Kazi na kupambana kwa sabb Kazi ndo baba na mama yako kweny shida, kweny raha...... Endelea kumuomba Mungu pia ulinzi na afya...... Bila kusahau ukipata muda wa kupumzika pumzika itakusaidia kujihisi vizuriNajua ni muda wa kaz huu,ila tulikuwa na kaz ya kuhakikiwa Ivo imekwisha mapema sana Leo inategemea na kuwahi kwako(tunahakikiwa Kila Leo[emoji849]).
Sasa ni hivi,Kuna muda unajihisi kuchoka na Kila kitu au kitu Fulani.Kwa mfano Mimi nimechoka na
1.Mapenzi(kuwa kwenye mahusiano)
2.Kuongea na watu kwenye simu kuhusu mapenz (hapa ndo nimechoka kabisaa,yaan sitaki)
3.Kufikiri yaan kichwan kimechoka kuwaza hili na lile at least namna ya kupata hela na kulea watoto napata faraja kuwazia Ivo vitu lakini siyo kumfikiria Fulani sijui,kufikiria sijui nn
4.Nimechoka na kaz yangu(ualimu) kuwahi asubuhi kwenda kuitumikia kaz inayonididimiza kiuchumi,I wish hiyo 11 alfajiri ninapoamka kuoga nioge Kwa biashara yangu nitakayotesekea mpaka usiku lakini inanipatia mafanikio.
5.Nimechoka kuishi pia,mechoka sana kiukweli ni vile nina watoto naogopa nikizima watateseka.
Ee Mwenyez Mungu nisaidie,pekeyangu siwez pasipo msaada wako.[emoji120]
Kama tupo wengi katika hili tufarijiane bas
Naanza kukuelewa sasaSure yaan, depression is real mkuu
Wewe hujachoka mwanangu?Pole muombe sana Mungu akusaidie maana nahisi una hali mbaya,tafuta na mtaalamu wa depression akusaidie.
Kha kumbe mapenzi nayachosha hivi.Najua ni muda wa kaz huu,ila tulikuwa na kaz ya kuhakikiwa Ivo imekwisha mapema sana Leo inategemea na kuwahi kwako(tunahakikiwa Kila Leo🙄).
Sasa ni hivi,Kuna muda unajihisi kuchoka na Kila kitu au kitu Fulani.Kwa mfano Mimi nimechoka na
1.Mapenzi(kuwa kwenye mahusiano)
2.Kuongea na watu kwenye simu kuhusu mapenz (hapa ndo nimechoka kabisaa,yaan sitaki)
3.Kufikiri yaan kichwan kimechoka kuwaza hili na lile at least namna ya kupata hela na kulea watoto napata faraja kuwazia Ivo vitu lakini siyo kumfikiria Fulani sijui,kufikiria sijui nn
4.Nimechoka na kaz yangu(ualimu) kuwahi asubuhi kwenda kuitumikia kaz inayonididimiza kiuchumi,I wish hiyo 11 alfajiri ninapoamka kuoga nioge Kwa biashara yangu nitakayotesekea mpaka usiku lakini inanipatia mafanikio.
5.Nimechoka kuishi pia,mechoka sana kiukweli ni vile nina watoto naogopa nikizima watateseka.
Ee Mwenyez Mungu nisaidie,pekeyangu siwez pasipo msaada wako.🙏
Kama tupo wengi katika hili tufarijiane bas
Kwani kuna ubaya?😳We sema tu nije unikule
Asante sana na ubarikiwe sana...Mungu akutie nguvu mpenz.... Unahitaji kuendelea kuishi kwa sababu ya watoto na wao ndio wapenzi wako wa kweli........ Unatakiwa uendelee kufanya Kazi na kupambana kwa sabb Kazi ndo baba na mama yako kweny shida, kweny raha...... Endelea kumuomba Mungu pia ulinzi na afya...... Bila kusahau ukipata muda wa kupumzika pumzika itakusaidia kujihisi vizuri
Ah wee bure dunia hii sii balaa hilo...tena mkimbie kabisa mtu anayekupa kitu bureHakuna ubaya but naamini hakuna kitu kitatoka kwako bure
Wapi huko?Umesikia wale wanaokatwa vidole?
Kumbe nikikatwa vidole mguu mmoja tayari nakjwa milionea.Zimbabwe,kidole kimoja million 60