Ee Mwenyez Mungu nisaidie,pekeyangu siwez pasipo msaada wako.
SAD Generation,, with a Happy Pictures
We Mwanamke mungu yuko upande wetu siku zote,, acha kujikatia tamaa,,, na usiwe limited kwenye interests zako,,, sometimes it's Ok not to be Ok....Palipo imani kuna mwanga unaomulika wenye kuamini...
Usijilinganishe na mtu yeyote na kwa namna yeyote,,,ishi maisha yako...na furahia kwa hicho ulicho nacho,,,kuna watu hawana kazi wewe unayo,,,,hawana mtoto wewe unao,,wagonjwa ila wewe mzima...so be grateful for that so usinung'unike kukosa viatu wakati wengine hawana hata hio Miguu ya kuvalia viatu (FA)...
Kingine
The grass is not greener on the other side,,, ipende kazi yako,,Mtaani sio rahisi kama unavyofikiria...
Mwisho lakini sio kwa umuhimu: Hakikisha unamwaga Oil muda muafaka,,ili Engine iweze kufanya kazi kwa ufasaha,,,Matatizo mengine ya gari kugoma goma sababu inaweza kuwa ni service tu na wala sio hali ya hewa na mazingira.,, Siti ya dereva ikiwa fresh uhakika wa kufika safari huwa ni mkubwa sana....(Legends Only)