Sheria ilikuja kwa mkono wa Musa na inamapungufu, Lakini neema na Kweli imekuja kwa mkono wa Kristo.Sasa tumalize
endelea kujifunza biblia uelewa wako ni mdogo sana ba hao walimu uliokuwa nao ni waongo
tumalize kwa kusema nakushauri muamini yesu na pamoja na kuzishika amri zake kwa pamoja tangu umesema kuwa amri zake sio mbaya zinakatza mambo mabaya na machafu zishike utaokolewa mara moja kama vile ndoto yako ilivyo.
Hakuna jambo la kufikirika kwenye mathematics kama huko,ni uhalisia tuHata kwenye Mathematics wengi wanaona malue lue, lakini aimaanishi ni formula za uwongo.
Haya nipe sasa matunda ya hizo hekaya unazonadi na msingi wake katika historiaKile kinachozidi akili si lazima kiwe uongo. Mara nyingi ndicho kinachothibitisha mipaka ya mwanadamu na kutufundisha kwamba kuna nguvu kubwa kuliko sisi. Imani ya kweli inajulikana kwa matunda yake na msingi wake katika historia, si kwa kuitwa hekaya za kufikirika.
Bado wanadi hekaya zisizo na mashiko?Hii inamaanisha kumpenda Yesu si maneno ya mdomoni pekee. Kama mtu anaendelea kuishi ndani ya dhambi bila majuto wala kupambana nayo, basi ule “upendo” wake ni maneno, si upendo wa kweli.
Pia kuna tofauti kati ya mtu anayejikuta akianguka kwa udhaifu, lakini ndani yake anajuta na kupambana kuacha, na mtu anayekaa kwa makusudi kwenye dhambi huku akijidai “anamfuata Yesu.” Wa kwanza bado ana nafasi kubwa ya msaada wa neema ya Kristo; wa pili yupo kwenye hali ya hatari, maana amezoea dhambi.
Kama tungeokolewa kwa matendo yetu, hakuna anayeweza kusimama. Lakini kupitia imani kwa Yesu, mtu anapata msamaha na nguvu ya kushinda tamaa ya dhambi. Hata wale wanaodai wanampenda Yesu lakini bado wako ndani ya dhambi suluhisho lao si kujificha kwenye dini, bali ni kutubu kweli na kuruhusu Yesu abadilishe maisha yao.
Kwa hiyo, wako wengi wanaosema wanampenda Yesu lakini bado wako utumwani mwa dhambi, hata kwenye madhabahu. Hii inaonyesha upendo wao bado ni wa maneno tu. Upendo wa kweli kwa Yesu huonekana pale mtu anapopokea neema yake, kutubu, na kujikuta akiacha dhambi kwa msaada wa Roho Mtakatifu.
na wewe ni wale wa kusema Kama Mungu yupo thibitisha uwepo wake ?Hakuna jambo la kufikirika kwenye mathematics kama huko,ni uhalisia tu
Tunaokolewa kwa imani katika Yesu Kristo na sio kwa kufuata SHERIA.
Tunahesabiwa haki kwa imani ndani ya Yesu Kristo na si kwa matendo ya sheria. Wokovu ni kwa neema kupitia imani ya Yesu Kristo, si kwa jitihada za kufuata sheria.
YESU ANASEMA MKINIPENDA MTAZISHIKA AMRI ZANGU.
KUSHIKA AMRI KIKAMILIFU KUNAKUJA BAADA YA KUMPENDA YESU
KAZI YA SHERIA
1. Sheria huonyesha dhambi, ila haiondoi dhambi
2. Mtu mwenye dhambi hawezi kusamehewa kwa kuanza kufuata sheria bali ataepuka dhambi mpya huku akiwa na zile dhambi za mwanzo.
Yesu ndiye njia ya kweli na uzima. Na moja ya uzima ndio pamoja na uzima katika mwili yaani kuangamiza tamaa zote za mwili ambazo ni uzinzi, uuaji, uasherati, ibaada za sanamu, uongo, wizi, ujambazi, ulevi, fitina, ubinafsi, uchawi, mawazo mabaya, tamaa mbaya, uchafu, ufisadi, ugomvi, wivu, hasira, faraka, uzushi, husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo.
Basi ukisha kuwa na imani katika Yesu Kristo anakupatia kiongozi yaani Roho Mtakatifu atakaye kuongoza katika upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, upole, kiasi kwasababu upo ndani ya Kristo Yesu yaani tumeusulibisha mwili pamoja na mawazo yake mabaya na tamaa zake mbaya.
Siwezi kuwa na akili mbovu ya hivyo ya kupingana na nature,mfano wako..mm namuamini Allah kawa muumba wa vyote,asiye na mshirika,amnaye hajazaa wala kuzaliwa na hafanani na chochote.. na naamini katika dini ya haki ya uislam inayoendana na maumbile na asili ya mwanadamuna wewe ni wale wa kusema Kama Mungu yupo thibitisha uwepo wake ?
Mwafrika anaamini na kutegemea "Mungu na Maraika" Waingilie Mambo ya hapa duniani, kama wanafunzi, kufaulu, kupata kazi, kuoa, na, kuolewa, kuwa, bilionea,Tunaokolewa kwa imani katika Yesu Kristo na sio kwa kufuata SHERIA.
Tunahesabiwa haki kwa imani ndani ya Yesu Kristo na si kwa matendo ya sheria. Wokovu ni kwa neema kupitia imani ya Yesu Kristo, si kwa jitihada za kufuata sheria.
YESU ANASEMA MKINIPENDA MTAZISHIKA AMRI ZANGU.
KUSHIKA AMRI KIKAMILIFU KUNAKUJA BAADA YA KUMPENDA YESU
KAZI YA SHERIA
1. Sheria huonyesha dhambi, ila haiondoi dhambi
2. Mtu mwenye dhambi hawezi kusamehewa kwa kuanza kufuata sheria bali ataepuka dhambi mpya huku akiwa na zile dhambi za mwanzo.
Yesu ndiye njia ya kweli na uzima. Na moja ya uzima ndio pamoja na uzima katika mwili yaani kuangamiza tamaa zote za mwili ambazo ni uzinzi, uuaji, uasherati, ibaada za sanamu, uongo, wizi, ujambazi, ulevi, fitina, ubinafsi, uchawi, mawazo mabaya, tamaa mbaya, uchafu, ufisadi, ugomvi, wivu, hasira, faraka, uzushi, husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo.
Basi ukisha kuwa na imani katika Yesu Kristo anakupatia kiongozi yaani Roho Mtakatifu atakaye kuongoza katika upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, upole, kiasi kwasababu upo ndani ya Kristo Yesu yaani tumeusulibisha mwili pamoja na mawazo yake mabaya na tamaa zake mbaya.
Kumbe mvaa madela 😁Siwezi kuwa na akili mbovu ya hivyo ya kupingana na nature,mfano wako..mm namuamini Allah kawa muumba wa vyote,asiye na mshirika,amnaye hajazaa wala kuzaliwa na hafanani na chochote.. na naamini katika dini ya haki ya uislam inayoendana na maumbile na asili ya mwanadamu
Mwafrika anaamini na kutegemea "Mungu na Maraika" Waingilie Mambo ya hapa duniani, kama wanafunzi, kufaulu, kupata kazi, kuoa, na, kuolewa, kuwa, bilionea,
Ila wazungu, wanatumia sayansi, Facebook, iphone, insta, LC 300,lincoln navigator, boieng, hazikutengenezwa kwa maombi! Watu walitumia bongo zao, wakishinda workshop, wakiumia vichwa!
Vitu vyote vizuri tunavyovitumia Afrika, katengeneza mzungu, hakushinda kanisani na bible akiomba na kufunga,
TV, flat screen, magari, train, ndege, tiba za, kisasa,google, insta, havikuja kwa maombi ni akili ilitotumika workshop usiku kucha, sio kufunga na kuomba, miujiza ya kujaza gesi, wala, kuongea kwa lugha.
Wewe jamaa ni mbumbumbu sana hii ni kwa mujibu wa biblia au kwa muujibu wa mchungaji wako ?Tunaokolewa kwa Imani sio kwa kufuata Sheria
Wewe jamaa ni mbumbumbu sana hii ni kwa mujibu wa biblia au kwa muujibu wa mchungaji wako ?
ndivyo biblia imesema hivyo ?
biblia inasema watakao okolewa ni wale wazishikao amri za mungu
Unajua yesu ndio mungu na mkuu wa sheria hizo ?Soma taratibu ili upate kuelewa vizuri. Mungu akusaidie katika jina la Yesu:
Warumi 3:28
“Kwa maana twaona ya kuwa mtu huhesabiwa haki kwa imani pasipo matendo ya sheria."
Wagalatia 2:16
Tukijua ya kwamba mwanadamu hahesabiwi haki kwa matendo ya sheria, bali kwa imani ya Yesu Kristo, sisi nasi tumemwamini Kristo Yesu, tupate kuhesabiwa haki kwa imani ya Kristo, wala si kwa matendo ya sheria; kwa sababu kwa matendo ya sheria hapana mwenye mwili atakayehesabiwa haki.”
Wagalatia 3:11
“Ni dhahiri ya kwamba hakuna mtu ahesabiwaye haki mbele za Mungu kwa sheria; kwa sababu, Mwenye haki ataishi kwa imani.”
Wagalatia 3:24
“Kwa hiyo sheria imekuwa mlinzi wetu mpaka Kristo aje, ili tuhesabiwe haki kwa imani.”
Waefeso 2:8-9
“Kwa maana mmeokolewa kwa neema, kwa njia ya imani; ambayo hiyo haikutokana na nafsi zenu, ni kipawa cha Mungu; wala si kwa matendo, mtu awaye yote asije akajisifu.”
Warumi 4:5
“Bali kwake yeye asiye na matendo, bali anamwamini yeye mwenye kumhesabia haki asiyekuwa na Mungu, imani yake huhesabiwa kuwa haki.”
Warumi 10:9-10
“Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kwamba Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka. Kwa maana kwa moyo mtu huamini hata kupata haki, na kwa kinywa hukiri hata kupata wokovu.”
With all due respect Meneja Wa Makampuni naomba kuleta mtazamo tofauti kidogo kuhusu hii mada.Tunaokolewa kwa imani katika Yesu Kristo na sio kwa kufuata SHERIA.
Tunahesabiwa haki kwa imani ndani ya Yesu Kristo na si kwa matendo ya sheria. Wokovu ni kwa neema kupitia imani ya Yesu Kristo, si kwa jitihada za kufuata sheria.
YESU ANASEMA MKINIPENDA MTAZISHIKA AMRI ZANGU.
KUSHIKA AMRI KIKAMILIFU KUNAKUJA BAADA YA KUMPENDA YESU
KAZI YA SHERIA
1. Sheria huonyesha dhambi, ila haiondoi dhambi
2. Mtu mwenye dhambi hawezi kusamehewa kwa kuanza kufuata sheria bali ataepuka dhambi mpya huku akiwa na zile dhambi za mwanzo.
Yesu ndiye njia ya kweli na uzima. Na moja ya uzima ndio pamoja na uzima katika mwili yaani kuangamiza tamaa zote za mwili ambazo ni uzinzi, uuaji, uasherati, ibaada za sanamu, uongo, wizi, ujambazi, ulevi, fitina, ubinafsi, uchawi, mawazo mabaya, tamaa mbaya, uchafu, ufisadi, ugomvi, wivu, hasira, faraka, uzushi, husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo.
Basi ukisha kuwa na imani katika Yesu Kristo anakupatia kiongozi yaani Roho Mtakatifu atakaye kuongoza katika upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, upole, kiasi kwasababu upo ndani ya Kristo Yesu yaani tumeusulibisha mwili pamoja na mawazo yake mabaya na tamaa zake mbaya.
Siku ukielewa vizuri ulichoandika utakuwa HURU kwelikweli!Tunaokolewa kwa imani katika Yesu Kristo na sio kwa kufuata SHERIA.
Tunahesabiwa haki kwa imani ndani ya Yesu Kristo na si kwa matendo ya sheria. Wokovu ni kwa neema kupitia imani ya Yesu Kristo, si kwa jitihada za kufuata sheria.
YESU ANASEMA MKINIPENDA MTAZISHIKA AMRI ZANGU.
KUSHIKA AMRI KIKAMILIFU KUNAKUJA BAADA YA KUMPENDA YESU
KAZI YA SHERIA
1. Sheria huonyesha dhambi, ila haiondoi dhambi
2. Mtu mwenye dhambi hawezi kusamehewa kwa kuanza kufuata sheria bali ataepuka dhambi mpya huku akiwa na zile dhambi za mwanzo.
Yesu ndiye njia ya kweli na uzima. Na moja ya uzima ndio pamoja na uzima katika mwili yaani kuangamiza tamaa zote za mwili ambazo ni uzinzi, uuaji, uasherati, ibaada za sanamu, uongo, wizi, ujambazi, ulevi, fitina, ubinafsi, uchawi, mawazo mabaya, tamaa mbaya, uchafu, ufisadi, ugomvi, wivu, hasira, faraka, uzushi, husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo.
Basi ukisha kuwa na imani katika Yesu Kristo anakupatia kiongozi yaani Roho Mtakatifu atakaye kuongoza katika upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, upole, kiasi kwasababu upo ndani ya Kristo Yesu yaani tumeusulibisha mwili pamoja na mawazo yake mabaya na tamaa zake mbaya.
Unaweza kufikia hatua mbaya ya uasherati mpaka unaogopa kwenda kanisani? That's who I am, najitahidi Kwa kadiri ninavyoweza kupoteza kumbukumbu za wanawake niliowahi kusex nao lakini inashindikana.Ni kweli Yesu alisema mkinipenda mtazishika amri zangu. Sasa unavyojiuliza ‘I don’t know how to love,’ fahamu kwamba kumpenda Yesu si jambo la hisia pekee, bali ni kumwamini na kumkubali katika maisha yako. Upendo kwa Yesu unamaanisha imani ya kweli kwake, na imani hiyo ndiyo inayozaa nguvu ya kuacha dhambi zile zilizo katwazwa na sheria.
Unaposema moyoni unampenda Yesu kwa sababu ni Mkombozi wako, hiyo ni hatua nzuri sana. Lakini shida ni kwamba unajikuta bado unasumbuliwa na uasherati. Hapa ujue huendi kinyume na maneno ya Yesu, bali unaonyesha kwamba bado unahitaji msaada wa Roho Mtakatifu. Kwa sababu kwa nguvu zako binafsi huwezi kuacha, lakini ukimruhusu Yesu akuongoze, anakupa nguvu ya kushinda.
Mfano mdogo: mtoto mdogo anapompenda mzazi wake, si lazima akazunguke kila siku akisema ‘nakupenda.’ Badala yake, upendo wake unaonekana kwa vitendo kusikiliza na kufanya anachoambiwa. Lakini mtoto huyo hawezi kufanikiwa peke yake, mzazi wake humsaidia, humwelekeza na hata kumsamehe anapokosea. Ndivyo ilivyo kwa Yesu: upendo wetu kwake siyo maneno tu, bali ni imani inayojitokeza katika matendo mapya na matendo hayo hutokea kwa msaada wake.
Kwa hiyo, usiogope wala kujiita hujui kumpenda. Ukimpenda Yesu kwa moyo wa dhati, amri zake unajikuta unazifuata kwa hiari, si kwa kulazimishwa. Hata hilo tatizo la uasherati, kadri unavyomkaribia Yesu, ndivyo unavyozidi kupata nguvu ya kuachana nalo. Sio mara moja, bali hatua kwa hatua. Upendo wa kweli kwa Yesu unabadilisha tabia yako, hadi unajikuta unaacha yale uliyoshindwa kuyaacha kwa nguvu zako.
Ukimpenda Yesu inawezekana ndani ya siku moja tu. Usifuate sheria mpende Yesu. Ndani ya Yesu kuna utimilifu wa hizo sheria zote.Unaweza kufikia hatua mbaya ya uasherati mpaka unaogopa kwenda kanisani? That's who I am, najitahidi Kwa kadiri ninavyoweza kupoteza kumbukumbu za wanawake niliowahi kusex nao lakini inashindikana.
Nimejaribu kupunguza cycle ya wanawake, nimeweza lakini ni Kwa kutokuongeza ila cycle niliyotengeneza kabla, siyo ya mahusiano ya kudumu ni cycle sijui niseme ni urafiki au nini lakini tunaweza kusex mda wowote atakao hitaji au Mimi, ni zaidi ya wanawake watano ambao nimeshindwa kumudu kuwahandle kwasababu ya tabia niliyowazoesha.
Ni changamoto sana.