Tunaomaliza mwaka bila sex wala mahusiano tujuane

Tunaomaliza mwaka bila sex wala mahusiano tujuane

Ngoja tujipongeze mwaka unaisha hivihivi kama utani ujawahi fumania naniliu hata mara moja wala kuwa kwenye mahusiano

Natumai mwakani kutanoga zaidi kwetu Neema itatuangazia 😔😊
Unaishije Sasa😀😀
 
Screenshot_20221126-152144_WhatsApp.jpg

Mkisha kutana uwanja huooooo, upo wazi kwa ajili yenu. No referees, mashabiki wenu miti.
 
Back
Top Bottom