Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Hivi Mkuu kwamaana hiyo huwezi kuishi bila ya sex?Hilo tatizo mlizaliwa nalo au limewaanza ukubwani?
Ni kuamua tu, wala si tatizo kama wewe ulivyoamua kuwa na mpenzi. Basi nasisi tunaamua kuwa single na bila kusex.
Humu wengi mnapenda sana ngono, ndiyo maana uzi wa ngono unafika hata wachangiaji 1000.