Tunaomaliza mwaka bila sex wala mahusiano tujuane

Tunaomaliza mwaka bila sex wala mahusiano tujuane

Ngoja tujipongeze mwaka unaisha hivihivi kama utani ujawahi fumania naniliu hata mara moja wala kuwa kwenye mahusiano

Natumai mwakani kutanoga zaidi kwetu Neema itatuangazia [emoji17][emoji4]
Unapata faida gn au una matatizo ya sirini?

Mwanume timamu hawezi leta hii mada hapa maana ataonekana mjinga.
 
Hivi Mkuu kwamaana hiyo huwezi kuishi bila ya sex?
Ni kuamua tu, wala si tatizo kama wewe ulivyoamua kuwa na mpenzi. Basi nasisi tunaamua kuwa single na bila kusex.
Humu wengi mnapenda sana ngono, ndiyo maana uzi wa ngono unafika hata wachangiaji 1000.
Nadhani faida ya MAHUSIANO sio ngono tu, Je hujisikii mpweke kuwa single hakuna mtu anayekupa attention kutwa nzima.
 
Mara zote sisi ma houseboy wa mawaziri ndio huwa tunawabikiri mabinti zao, na wazee wakienda Dodoma au ziara nyingine pia humfariji mama.
Nitakupa tender care usijali.
Ndimi houseboy wa Taifa
Mwigulu is Typing....[emoji23]
Majaliwa is Typing....
Nape is Typing......

Kijana tangulia kusiko julikana team ya kukubana izo kengere inakufuata si muda mrefu...kumbe ni wewe ndie unaekula wake wa waheshimiwa hee?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi Mkuu kwamaana hiyo huwezi kuishi bila ya sex?
Ni kuamua tu, wala si tatizo kama wewe ulivyoamua kuwa na mpenzi. Basi nasisi tunaamua kuwa single na bila kusex.
Humu wengi mnapenda sana ngono, ndiyo maana uzi wa ngono unafika hata wachangiaji 1000.
Yani wanaonaga kama sex sijui ndo nini yani, mbona fresh tu tena ukikaa zaidi ndio unakua hutamani hata kuguswa
 
Back
Top Bottom