The statements you mentioned are never true. Celibacy inaside effects kwa mwamwanaume na kwa mwanamke, ukiacha social side effects ambayo hii hutokea kama hujafanya sex kwamuda mrefu bila kuridhia na sikwamba ulitaka mwenyewe. Kuna side effects kwenye medical side. Ikiwemo hormonal imbalances kwa wanawake, kinga kushuka mwilini, maumivu ya period kupanda, matatizo ya moyo kwasababu hormone za mwanamke kwakiasi chake huathiri moyo na kwa mwanaume ni tezi dume kwakiasi kikubwa, stress and anxiety pamoja na kushuka confidence kwasana. Kuna kuacha kwalengo maalumu na unamuda wake ila kuacha pasipo lengo au kwa muda maalumu kutakuletea shida kubwa mno. Hormone za kike na kiume zinaeffect kubwa sana kwenye ubongo na moyo.