Tunaomaliza mwaka bila sex wala mahusiano tujuane

Tunaomaliza mwaka bila sex wala mahusiano tujuane

Sex desire starts in the brain and then works it's way down. So if you find yourself in a situation where you no longer have sexual desíre, then you must be suffering from depression
No at all. You are the master of your brain. Sex is not a vital need . That's why life goes on even without sex. I think one must be verry very intelligent to live without sex. Iam sure iam the one. Unajua ninashangaa mtu anasema hawezi ishi bila sex. Ninashangaa. Kama una watoto wadogo ,upo.busy akili kuwaza kusolve how watoto utawasupport hadi wawe indépendant siku moja. Sioni kabisa nafasi ya kuwaza ngono. Wanaume wengi ni malaya na waongo.Kuna Ukimwi how uharibu future ya wanao kisa sex ?????????
 
Uwe unanunua ata bitches mzee ili rungu lipate greasy sio mwaka unaisha LIMEJAA kutu....SIKUPATII PICHA YAAN UTAKUWA UNAPENDA SANA KUCHECHEKA OVYO
Mm nipo funny ila sio kucheka kama chizi ila ninachoexpirience ni hasira sometimes ila mvivu wa kufanya mamuzi
 
Kwa wanawake hakuna shaka, ila kwa wanaume inabidi uwe busy sana na kazi.

Wanaume wanaokaa bila sababu ndio hao wanaleta dhahama kwa watoto majumbani,shuleni na mitaani kama anko na watoto wa school bus
 
No at all. You are the master of your brain. Sex is not a vital need . That's why life goes on even without sex. I think one must be verry very intelligent to live without sex. Iam sure iam the one. Unajua ninashangaa mtu anasema hawezi ishi bila sex. Ninashangaa. Kama una watoto wadogo ,upo.busy akili kuwaza kusolve how watoto utawasupport hadi wawe indépendant siku moja. Sioni kabisa nafasi ya kuwaza ngono. Wanaume wengi ni malaya na waongo.Kuna Ukimwi how uharibu future ya wanao kisa sex ?????????
My dear sex is not a must do, but it is extremely very beneficial to our health as it's perks extend well beyond the bedroom.
hapa nitakupa Faida muhimu za sex:
1. sex help your immune system humming.
2. sex lowers your blood pressure.
3. sex improve sleep (na ndio maana
ukifikishwa kibo lazima ulale na ukiamka
utasikia "I slept like a baby" 😂😂
4.sex improve self esteem.
5. sex inapunguza stress both physiological and emotional.
try have more sex utaketa ushuhuda.

kusema kuwa one must be very intelligent to live with out sex hiyo nakataa; that's not intelligence but a lack of scoring kwasababu ya hivyo ulivyovisema hapo.

suala la mtu kusema hawezi kuishi bila sex nadhani huo ni usemi watu wanatumia kunesha ni jinsi Gani wanapenda mgegedo.

Nakataa huo msemo wenu kuwa wanaume ni waongo. mtu anaweza kuwa sio muongo lakini akalazimika kudanganya. sisi site tunajua kuwa you women love to be lied to; mtu akiwa mkweli hamuelewi kabisa hasa hasa. ninyi wanawake wa kiafrika.

to sum up kuhusu suala la magonjwa it's on you to make sure you are having a safe sex. kitu nimegundua wanawake wengi hawajui condom.
 
No at all. You are the master of your brain. Sex is not a vital need . That's why life goes on even without sex. I think one must be verry very intelligent to live without sex. Iam sure iam the one. Unajua ninashangaa mtu anasema hawezi ishi bila sex. Ninashangaa. Kama una watoto wadogo ,upo.busy akili kuwaza kusolve how watoto utawasupport hadi wawe indépendant siku moja. Sioni kabisa nafasi ya kuwaza ngono. Wanaume wengi ni malaya na waongo.Kuna Ukimwi how uharibu future ya wanao kisa sex ?????????
Si unakuwa na mmoja wa kufanya nae sex kila unapohisi haja ya kufanya hivyo? Sex is human basic need, kama ilivyo kula na kulala.
 
Haiwezekani mtu mwenye akili timamu akamaliza mwaka bill ya kungonoka.

Hata mtu asipokuwa Kwenye mahusiano lazima atanunua dada poa ama apige nyeto.
 
Back
Top Bottom