Tunaomaliza mwaka bila sex wala mahusiano tujuane

Tunaomaliza mwaka bila sex wala mahusiano tujuane

Kua single ni raha ILA shida inakuja pale ukiumwa unakosa hata wa kukwambie honey unajisikiaje[emoji849] [emoji22][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unakutana na mama tu utasikia we sabina amka unywe uji[emoji24] Tena hii chupa nikirudi nikute iko tupu[emoji849]
 
Binafsi hakuna kitu sipendi Kama wanawake hii ni kwa ajili ya uchafu hasa wa kufanya Ngono
Sipendi kumuona Binadamu akiwa uchi .

Hivyo napenda Maisha ya usafi 24/7 Sana na vitu natural hivyo nyumba yangu hatokuja kulala Mwanamke
Jamani
 
Inategemea na majukumu uliyonayo lakini pia interaction na jinsia tofauti.

Sisi wakata mkaa mda wote tuko porini, team yako ni majamaa ambayo hata siku moja husikii wakiongelea mbususu. Unaanza kuwaza ngono??

Enwei!!!!! Ukizoea kukaa mda mrefu inakuletea shida kwenye mahusiano especially ukikutana na mwenza mpenda chini.
 
Kua single ni raha ILA shida inakuja pale ukiumwa unakosa hata wa kukwambie honey unajisikiaje[emoji849] [emoji22][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unakutana na mama tu utasikia we sabina amka unywe uji[emoji24] Tena hii chupa nikirudi nikute iko tupu[emoji849]
Hayo ya unajisikiaje honey ni ma drama labda Kama na wewe unapenda ma drama ila aina hiyo ya upendo wa mama ndo upendo wenyewe sasa
 
Haiwezekani mtu mwenye akili timamu akamaliza mwaka bill ya kungonoka.

Hata mtu asipokuwa Kwenye mahusiano lazima atanunua dada poa ama apige nyeto.
Wewe ni dhaifu Sana na jambo Kama hilo kwa watu Kama nyie hamtokuja kuliweza kamwe labda muanze kwa kubadilisha mawazo yenu kwakuonda mavitu negative mliyoyajaza kichwani
 
Hata mwaka
Oops! Naomba nikutongoze mkuu, mwaka bila kutongozwa mbona mda mrefu sana. Na wakati huenda bado wewe mdogo kiumri, kutongozwa instakiwa kuwa almost daily, kuombwa namba almost daily, kuombwa out pia.

Au huenda unajiweka high class sana hadi vidume vinakuogopa?
 
Au sio [emoji23]
 
No at all. You are the master of your brain. Sex is not a vital need . That's why life goes on even without sex. I think one must be verry very intelligent to live without sex. Iam sure iam the one. Unajua ninashangaa mtu anasema hawezi ishi bila sex. Ninashangaa. Kama una watoto wadogo ,upo.busy akili kuwaza kusolve how watoto utawasupport hadi wawe indépendant siku moja. Sioni kabisa nafasi ya kuwaza ngono. Wanaume wengi ni malaya na waongo.Kuna Ukimwi how uharibu future ya wanao kisa sex ?????????
This also depends. ..km mwenzio hayupo you can't but akiwepo lazima utamfikiria..
 
Ngoja tujipongeze mwaka unaisha hivihivi kama utani ujawahi fumania naniliu hata mara moja wala kuwa kwenye mahusiano

Natumai mwakani kutanoga zaidi kwetu Neema itatuangazia 😔😊
Mm ndo sijawahi kuwa na mahusiano serious kwa kweli lakini habar ya kuburudika jmn mwezi huwa hauishi
 
Back
Top Bottom