Tunaomaliza mwaka bila sex wala mahusiano tujuane

Tunaomaliza mwaka bila sex wala mahusiano tujuane

Alishafariki dunia.Ndo maana nimeamua kuwa sister kama Mt Rita.
Pole sn rafiki as other members suggested. ..usifunge moyo wako hivyo. ..kuna kitu wakina mama hua wanawazia sn kua akiwa na watoto maisha mengine hayana umuhimu...always be +ve ni hali ya maisha kl mtu atapitia sema muda unatofautiana
 
Give Victoire time, she needs it for her heart to heal. Kama hajatimiza tangu aliyekuwa mume wake atangulie, bado kuna maumivu makubwa ndani yake. Siku akipona mbona atakaa sokoni kirahisi tu.
 
Uwe unanunua ata bitches mzee ili rungu lipate greasy sio mwaka unaisha LIMEJAA kutu....SIKUPATII PICHA YAAN UTAKUWA UNAPENDA SANA KUCHECHEKA OVYO
😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom