Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na sie tulotiana kuanzia tarehe moja January 22 hadi Leo tucomment wapi?!Ngoja tujipongeze mwaka unaisha hivihivi kama utani ujawahi fumania naniliu hata mara moja wala kuwa kwenye mahusiano
Natumai mwakani kutanoga zaidi kwetu Neema itatuangazia ๐๐
Usione wivu bas[emoji4]Eeeeeeeh aiseee
Na wewe nakupa mwalikoEeeeeeeh aiseee
Duh!Na sie tulotiana kuanzia tarehe moja January 22 hadi Leo tucomment wapi?!
Ashapewa ukatibu. Sa hv anagombania nafasi ya uraisAnafaa kuwa katibu
Nishashusha sema ni muda sanaNjoo ushushwe visa kwenye thread ya kula kimasihara tena nimention nipate kusoma kwa haraka
Nimalize mwaka bila shoo Bado sijafika kupanda huo mtumbwi wa vibwengo. Sina taabia ya Kuyumba nanyoosha runguNgoja tujipongeze mwaka unaisha hivihivi kama utani ujawahi fumania naniliu hata mara moja wala kuwa kwenye mahusiano
Natumai mwakani kutanoga zaidi kwetu Neema itatuangazia ๐๐
๐๐๐๐๐๐๐ saafi
Ndio ntatoa visa kwa mpangilio na mtiririko mkali.Ila natumai soon kunakingine mechi 365 za mwaka ni nyingi ๐