DOKEZO Tunaomba Msaada: Tumedhulumiwa na LE MARAHEB RESTAURANT & more mishahara yetu na kubambikiwa kesi ya jinai na mwajiri wetu mwarabu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hii awamu ni ya hakina Mama.

Kuna yule wa THIMBA anatukana wewe, yaani Dr. Haji Manara alitukanwa akawa analia tu kila mara akashindwa kuvumilia matusi akahamua kukimbilia Utopolo!
 

Kwahiyo wewe ni mbaguzi sio! Kwa mtanzania sio ishu, ila kwa mgeni atakipata cha moto, acha ubaguzi kijana, huko china ukifanyiwa huo ujinga wa kupasua kioo utajisikiaje! Sometimes tuwe tunapotezea tu
 
Tulikua tunakatazwa kutumia simu kazini na mara nyingi simu zetu zilikua zinakusanywa mpaka mda wa kuondoka ndio unarudishiwa simu yako. Hata Mabegi yetu tunaacha nje kwa mlinzi huruhusiwi kuingia nayo
Duh kama mnafanya kazi mgodin
 
Safi kabisa. Unakuta mtu yupo kwenye gari anatematema mate nje hovyo kama nyoka bila kuangalia
 
Hakuna kitu nachukia kama kudhulumiwa haki yangu. .! Bora niitwe gaidi ila mtu anawapelekesha kiasi hicho.hamjui hata anapoishi kwani?? Mkambananisha.hapo mnatakiwa mkose nyote.nyie mkose kazi na wao wakose hotel. Yangu ni hayo.
 
Inasikitisha sana yaani Askari Mtanzania mweusi unachukua rushwa kutoka kwa muarabu mweupe kutoka Yemeni na kumkandamiza ndugu yako kwa hivyo vihela mbuzi?

Ni wakati nasisi raia kujitengenezea kinga yetu kwa kuteteana dhidi ya hawa mbwa wanaojiita wawekezaji weupe popote pale iwe kwa kusingiziwa au kweli basi tusimame dhidi ya wenzetu ifike mahala kila mgeni atuogope raia.

Ni vyema sasa kila mtu aposti uzi na malalamiko kila mahala dhidi ya hawa waYemeni kuanzia you tube, Instagram, tweeter, whatsap kila mahala iwe kuwapaka choo mpaka mamlaka zione aibu.
 
Hakuna kitu nachukia kama kudhulumiwa haki yangu. .! Bora niitwe gaidi ila mtu anawapelekesha kiasi hicho.hamjui hata anapoishi kwani?? Mkambananisha.hapo mnatakiwa mkose nyote.nyie mkose kazi na wao wakose hotel. Yangu ni hayo.
Kwa sasahivi wamehamia hapohapo kuna nyumba ndani ya eneo la Mgahawa.
 
Msukule ya jiwe unachomoza taratiiiibu
 
Ameutaja tayari twendeni Google
 
Acheni kupoteza muda hizi kesi ndizo wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wanajitafutia sifa Kwa umoja wenu nendeni Kwa mkuu wa wilaya
 
Yani nimechukia sana pambaneni ya mtu anakuja kukutesa nyumbani kwako.

Askari nao wanalaana yani unakula vihela vya supu mtanzania mwenzako adhulumiwe jasho lake alilolipata kwa shida na tabu kweliii?

Nimepatwa na hasira nakusikitika.
 
Hili ni wazo langu, kwenye upande wa kiroho, huenda huyo bosi wenu sio binadamu wa kawaida, ni jini/nephilim (malaika walioasi mbinguni wakatupwa hapa duniani), si kila mtu unayemuona barabarani ni binadamu wa kawaida, wengine ni mapepo wanajifanya binadamu kutimiza mission zao hapa duniani Mtanzania Mnyonge22
 
Yani nimechukia sana pambaneni ya mtu anakuja kukutesa nyumbani kwako.

Askari nao wanalaana yani unakula vihela vya supu mtanzania mwenzako adhulumiwe jasho lake alilolipata kwa shida na tabu kweliii?

Nimepatwa na hasira nakusikitika.
Inasikitisha mno Mkuu, Tanzania system ni mbovu sana, nimeamini si kila anaefungwa Jela ana hatia kweli😭😭 huyu Bosi alileta Mashahidi wa uongo Mahakamani ila hata mtoto mdogo aliesikiliza kesi yetu aliweza kujua wazi wanasema uongo! Na mbaya zaidi baadhi yetu sio wasemaji na hawajui kujielezea laiti kesi hii isingekua Ya watu wengi basi kuna ambao wangeangamia kwasababu ya kutojua kujitetea.
 
Inawezekana Mkuu maana sio kwa Dhulma wanaofanyia wenzao huku wakijisifia na kufurahia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…