Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumkaribishe humu Bwana Al shatry humu JF nae atupe upande wake wa stori.
Mimi nikionewa na MTANZANIA mwenzangu hata akiwa mdogo kwangu huwa Sina maneno kwa kweli!
Ila hawa wageni wakionesha dharau najikutaka harufu ya kifungo inanukia.
Kuna siku Niko Mbeya,(Chunya road) natembea kwa miguu,ahamadii harrier nyeusi ikakatiza ubavuni mwangu,baada ya kunipita tu nikaona MCHINA katoa kichwa katema makohozi ambayo yalinipata usoni baada ya kupeperushwa na upepo😞😞,kwa ghadhabu niliokota jiwe huku nikiikimbilia ile gari,Mlio wa kuvunjika kwa kioo Cha nyuma ulisikika(Tuligawana hasara ya midharau yake),mi nikapotelea zangu uswahilini hukoo.
Duh kama mnafanya kazi mgodinTulikua tunakatazwa kutumia simu kazini na mara nyingi simu zetu zilikua zinakusanywa mpaka mda wa kuondoka ndio unarudishiwa simu yako. Hata Mabegi yetu tunaacha nje kwa mlinzi huruhusiwi kuingia nayo
Safi kabisa. Unakuta mtu yupo kwenye gari anatematema mate nje hovyo kama nyoka bila kuangaliaMimi nikionewa na MTANZANIA mwenzangu hata akiwa mdogo kwangu huwa Sina maneno kwa kweli!
Ila hawa wageni wakionesha dharau najikutaka harufu ya kifungo inanukia.
Kuna siku Niko Mbeya,(Chunya road) natembea kwa miguu,ahamadii harrier nyeusi ikakatiza ubavuni mwangu,baada ya kunipita tu nikaona MCHINA katoa kichwa katema makohozi ambayo yalinipata usoni baada ya kupeperushwa na upepo[emoji20][emoji20],kwa ghadhabu niliokota jiwe huku nikiikimbilia ile gari,Mlio wa kuvunjika kwa kioo Cha nyuma ulisikika(Tuligawana hasara ya midharau yake),mi nikapotelea zangu uswahilini hukoo.
Inakera Sana mkuu!Safi kabisa. Unakuta mtu yupo kwenye gari anatematema mate nje hovyo kama nyoka bila kuangalia
Kwa hiyo Waziri wa Tozo angekuwa Mbengali mungeandama, au tungeufyata tu kama kawa?Safi kabisa. Unakuta mtu yupo kwenye gari anatematema mate nje hovyo kama nyoka bila kuangalia
Kwa sasahivi wamehamia hapohapo kuna nyumba ndani ya eneo la Mgahawa.Hakuna kitu nachukia kama kudhulumiwa haki yangu. .! Bora niitwe gaidi ila mtu anawapelekesha kiasi hicho.hamjui hata anapoishi kwani?? Mkambananisha.hapo mnatakiwa mkose nyote.nyie mkose kazi na wao wakose hotel. Yangu ni hayo.
Msukule ya jiwe unachomoza taratiiiibuWatu weupe wanatuzidi ujanja,pesa,akili pia na technolojia,na wanatumia haya madhaifu kutunyanyasa Sana,maana sis watu weusi tuna njaa haraf pia tunasalitiana Sana,mtu mpaka anawatukana matus ya namna hyo huwez kujua nin kinampa jeur,weupe weng huku wanakuja Kama mabeberu,hivyo huwa Yana mitandao mirefu Sana. Nawahakikishia hata myapeleke wap hamuwez mkayashnda,yaan had viongoz wanayaogopa kabisa!!! Magufuli ndie alikuwa kiongoz pekee ambae alikuwa hawaogopi Hawa jamaa. Watanzania tunadanganywa kwa vitu vidogo ili tuweze kusaliti watanzania wenzetu!!!
Kwa ushaur wangu nawaomba muachane nao tu,yaan endeleen na shughur zenu tu,maana mtapoteza muda bure tu na mwishowe hamtaambulia kitu.
Ameutaja tayari twendeni GoogleOkay Jina La Mgahawa ni “Le Maraheb Restaurant & More” upo Masaki/ Chole Road.
Nimeambatanisha Picha za Mgahawa hapo Chini[emoji1427]
Tukio Lilitokea January Mwishoni, Osterbay Police Askari wengi wanajua Mkasa wetu, pale Osterbay Police ukisema tu kesi ya wale Vijana 12 walionyimwa Mishahara yao na Bosi wao Mwarabu mwenye Mgahawa Masaki Chole Wanakumbuka!
Acheni kupoteza muda hizi kesi ndizo wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wanajitafutia sifa Kwa umoja wenu nendeni Kwa mkuu wa wilayaHabari Zenu Wakuu.
Mimi na wenzangu 11 tulikua tukifanya kazi mgahawa ambao upo Masaki, unaitwa “LE MARAHEB RESTAURANT & more” unamilikiwa na waarabu wa Yemen. Tarehe 28 January, 2022 ilitokea mzozo kazini majira ya saa 7usiku, baina ya bosi wakike na wafanyakazi huyo mama alitutukana matusi ya nguoni mbele ya wateja wachache waliokuwepo wanamalizia kuvuta shisha, na akasema hatomlipa mbwa yoyote mshahara! Popote tutapoenda kudai haki zetu atasema “hatufahamu” na ataaminiwa sababu hakuna mwenye mkataba nae pia yeye ana hela.
Hio sio mara ya kwanza huyu mama kutukana wafanyakazi wake matusi ya nguoni, alikua akitutukana mara kwa mara tena mbele ya wateja bila kujali chochote. Wateja wengine walichukizwa kwa jinsi huyu mama anavyo mistreat wafanyakazi wake hivo baadhi ya wateja wamekua wakiacha comments mbaya juu ya mistreatment za wafanyakazi huko Google Review kwa muda tofauti tofauti. Ushahidi upo.
Huo usiku wa tukio supervisor alimuomba bosi asituadhibu kwa kutunyima haki zetu za mishahara, sababu wengi wanategemea mshahara huohuo kuendesha maisha yao.
Yule mama alimtukana matusi ya nguoni supervisor na akamfukuza kazi usiku huohuo na kuamriwa atoke nje ya mgahawa. Supervisor akasema ataondoka baada kulipwa mshahara wake yule mama akasema hamlipi hata aende wapi, hana mkataba na yoyote kati yetu huku akicheka! Wafanyakazi wote usiku huo tukawa upande wa Supervisor sababu ni kweli hakuna mwenye mkataba pale na tulichoshwa kutukanwa matusi.
Yule mama akasema subirini hapahapa hamna kuondoka leo nitawaonyesha mie ni nani. Baada ya muda defender la polisi likafika na askari mmoja akatufata na kuuliza kama kuna fujo? Sababu wamepigiwa simu kuja kutuliza fujo na wameambiwa mali zimevunjwa pale mgahawani ila anashangaa kukuta hali ni shwari na hamna dalili ya kitu kuvunjwa.
Naendelea hapo chini kwenye comments👇🏽View attachment 2343514View attachment 2343531View attachment 2343530View attachment 2343550
Hili ni wazo langu, kwenye upande wa kiroho, huenda huyo bosi wenu sio binadamu wa kawaida, ni jini/nephilim (malaika walioasi mbinguni wakatupwa hapa duniani), si kila mtu unayemuona barabarani ni binadamu wa kawaida, wengine ni mapepo wanajifanya binadamu kutimiza mission zao hapa duniani Mtanzania Mnyonge22Nia yake atufunge Jela, kule Kazini wanawaambia Wafanyakazi Wapya wenzenu Wapo Gerezani Tumewafunga.
Wanajiamini 100% hawatulipi hela zetu hata twende wapi, na Hofu Yetu wasije kufanikiwa Kutufunga while hatuna Hatia na Hukumu Ilithibitisha hivo. Roho zinatuuma Tulikua tunafanya kazi Mpaka saa 8 Usiku, Maana wana huduma ya Shisha ndo wateja walikua wanachelewa Kuondoka, Kweli Mtu unanyimwa Jasho lako uliolitafuta kwa tabu kurudi Nyumbani usiku wa manane Tunaogopa Kupishana na Vibaka na Mateja, anatukomesha kutunyima haki zetu kisa tu ana hela? Tuende wapi Sauti zetu zisikike? Tukifungwa Jela Wazee wetu na Watoto wetu watakua kwenye hali gani? Hawana Huruma ni Makatili mno hawana Urafiki na mtu hata huyo Mlinzi alietusaliti na Kutoa Ushahidi wa Uongo Alisimamishwa Kazi akabembeleza sana arudishwe maana Maisha yake hana hata sehem ya Kulala, sshv anajuta na muda wowote anaondoka mambo yamemgeukia.
Sawa Mkuu, Nashkuru kwa ushauri wako. Tutalifanyia kazi.Acheni kupoteza muda hizi kesi ndizo wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wanajitafutia sifa Kwa umoja wenu nendeni Kwa mkuu wa wilaya
Inasikitisha mno Mkuu, Tanzania system ni mbovu sana, nimeamini si kila anaefungwa Jela ana hatia kweli😭😭 huyu Bosi alileta Mashahidi wa uongo Mahakamani ila hata mtoto mdogo aliesikiliza kesi yetu aliweza kujua wazi wanasema uongo! Na mbaya zaidi baadhi yetu sio wasemaji na hawajui kujielezea laiti kesi hii isingekua Ya watu wengi basi kuna ambao wangeangamia kwasababu ya kutojua kujitetea.Yani nimechukia sana pambaneni ya mtu anakuja kukutesa nyumbani kwako.
Askari nao wanalaana yani unakula vihela vya supu mtanzania mwenzako adhulumiwe jasho lake alilolipata kwa shida na tabu kweliii?
Nimepatwa na hasira nakusikitika.
Inawezekana Mkuu maana sio kwa Dhulma wanaofanyia wenzao huku wakijisifia na kufurahia.Hili ni wazo langu, kwenye upande wa kiroho, huenda huyo bosi wenu sio binadamu wa kawaida, ni jini/nephilim (malaika walioasi mbinguni wakatupwa hapa duniani), si kila mtu unayemuona barabarani ni binadamu wa kawaida, wengine ni mapepo wanajifanya binadamu kutimiza mission zao hapa duniani Mtanzania Mnyonge22