DOKEZO Tunaomba Msaada: Tumedhulumiwa na LE MARAHEB RESTAURANT & more mishahara yetu na kubambikiwa kesi ya jinai na mwajiri wetu mwarabu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Watz tumegawanyika sbb ya umaskin wetu ivi mtz mambo kama haya anaweza dhubut kufanya ger franc
Mnadai mishahara ya miezi mingap na mlikuwa mnalipwa sh ngap kukubali kufanya kazi bila mkataba ni changamoto
 
Mm Ni mkristo lkn unyanyazaji hpn kwa kweli tia kiberit hyo restaurant akili iwakae saw

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ndio mmeshindwa kukitia kiberiti haka kamgahaw

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wana Uraia wa Tanzania ila asili yao ni Yemen, wanazungumza Kiarabu na Kiswahili, Walikua na Mgahawa Mwanza Rock City Mall, Wametapeli Mishahara watu kibao mpaka Suppliers huko Mwanza wakakimbilia Dar. Pia Huyo Bosi wakike Familia yake ndio wamiliki wa Star Light Hotel Iliopo Kisutu, ila wengine wanasema Waliuza hio Star Light Hotel ndio wakafungua huo Mgahawa Wa Masaki.

Bosi wa kike anaitwa: ARIFA AL-BEITY
Bosi wa Kiume anaitwa: MAHMOUD OMAR AL-SHATRY
 
Taja Mgahawa Jina La Boss
Kituo Cha Police, Jina La Hao Askari, Hakimu Anayeisikiliza Kesi

Mahakama Gani,

Utapata Msaada Chap
Serikali Ipo JF Saa 24/7
 
Details kuhusu huo mgahawa
 

Attachments

  • Screenshot_20220902-233556_Chrome.jpg
    40.8 KB · Views: 6
  • 20220902_220643.jpg
    32.2 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220902-233513_Chrome.jpg
    37.2 KB · Views: 7
  • Screenshot_20220902-233529_Chrome.jpg
    45 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220902-233522_Chrome.jpg
    74.5 KB · Views: 7
  • Screenshot_20220902-233552_Chrome.jpg
    45.4 KB · Views: 7
  • Screenshot_20220902-215730_Chrome.jpg
    43.4 KB · Views: 7
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…